Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Kuna Papa MsofeKama papa unamjua basi jibu unalo Kama humjui tafuta taarifa zake
Kuna Papa Liquidi
Kuna Papa Kadege
Wewe unamzungumzia yupi hapo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Papa MsofeKama papa unamjua basi jibu unalo Kama humjui tafuta taarifa zake
samaki.Kuna Papa Msofe
Kuna Papa Liquidi
Kuna Papa Kadege
Wewe unamzungumzia yupi hapo ?
Mjinga mmoja anaposti ujinga akidhani wote WAKO kama yeyeKuna Imani zingine za kipumbavu sana.
Yaani wakifunga TV zote kazi kutangaza funga yao, wataomba vyakula vipunguzwe bei, watu wasile kwa uhuru mchana.
Kitimoto haiuzwi chumbani mwako, haiuzwi uani mwako, haiuzwi kwenye ofisi za umma, haiuzwi kwenye maduka yenye bidhaa mchanganyiko.
Yet mnataka tuuziane chumbani kwetu.
Hivi mna matatizo gani enyi wanafiki?
Uungwana pia nikuruhusu wakristo kujenga makanisa huko zenji..na kuishi bila kuwabughuzi.Uungwana ni vitendo
Mnyaazi kawaambia hivyoKuna Imani zingine za kipumbavu sana.
Yaani wakifunga TV zote kazi kutangaza funga yao, wataomba vyakula vipunguzwe bei, watu wasile kwa uhuru mchana.
Kitimoto haiuzwi chumbani mwako, haiuzwi uani mwako, haiuzwi kwenye ofisi za umma, haiuzwi kwenye maduka yenye bidhaa mchanganyiko.
Yet mnataka tuuziane chumbani kwetu.
Hivi mna matatizo gani enyi wanafiki?
Ukichunguza vizuri watu ambao sio wastaarabu ni nyie wa mlengo huoKatika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?
OkHeshima kitu cha bure
Mbona mnatembea na dada zetu wanaokula kitimoto ?! Tena mnakula denda linalotokana na ptotini ya kitimoto !! Wantama wasioliwa ni wengi kwa nini shida iwe kwa kitimoto tuu ??! Elezea..Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?