Kitimoto nacho BEI JUU!

Kitimoto nacho BEI JUU!

Imepanda bei sababu ya vita ya Ukraine
 
imebd nrud tena [emoji23]
IMG_20220505_133841_304_1651747451850.jpg

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.

Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.

***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443

Badilisha sehemu ya kula bado kuna sehemu hapa dar bei ni 12k mpaka 14k na nzuri tu…
 
Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.

Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.

***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
Sheikh Juma naona umemisi sana white meat.
 
IMG_9845.jpg

Watu washajiongeza mafuta ya kiti moto yanafaa kupikia na yanauzwa kama kawaida tu
 
Back
Top Bottom