KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

Nguruwe noma! Jiulze kwanini kilo ya nyama ya ng'ombe 6000 halafu chairfire 12000, jaribu uvumbue ni i kinaipa bei, ni utamu tuu sio kingne

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Halafu ndio inaongoza kuliwa duniani.😂😂😂
 
Chaumbile lmulungu ni chakumemena!
[emoji116][emoji116]
ٱلْيَوْمَ أُحِلَّ لَكُمُ ٱلطَّيِّبَٰتُ ۖ وَطَعَامُ ٱلَّذِينَ أُوتُواْ ٱلْكِتَٰبَ حِلٌّۭ لَّكُمْ وَطَعَامُكُمْ حِلٌّۭ لَّهُمْ ۖ وَٱلْمُحْصَنَٰتُ مِنَ ٱلْمُؤْمِنَٰتِ وَٱلْمُحْصَنَٰتُ مِنَ ٱلَّذِينَ أُوتُواْ ٱلْكِتَٰبَ مِن قَبْلِكُمْ إِذَآ ءَاتَيْتُمُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ مُحْصِنِينَ غَيْرَ مُسَٰفِحِينَ وَلَا مُتَّخِذِىٓ أَخْدَانٍۢ ۗ وَمَن يَكْفُرْ بِٱلْإِيمَٰنِ فَقَدْ حَبِطَ عَمَلُهُۥ وَهُوَ فِى ٱلْءَاخِرَةِ مِنَ ٱلْخَٰسِرِينَ ﴿٥﴾
Leo mmehalalishiwa kila vilivyo vizuri. Na chakula cha walio pewa Kitabu ni halali kwenu, na chakula chenu ni halali kwao. Na pia wanawake wema miongoni mwa Waumini, na wanawake wema miongoni mwa walio pewa Kitabu kabla yenu, mtakapo wapa mahari yao, mkafunga nao ndoa, bila ya kufanya uhasharati wala kuwaweka kinyumba. Na anaye kataa kuamini

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • c931b181ff88b6ce0c916b8ebee0336a.jpg
    19 KB · Views: 2
  • IMG_20211225_152956-1.jpg
    45.8 KB · Views: 2
jaman ktk kitu amabvho hakitaingia mwilin mwangu ni hiki chakula !yaan nimeharibu asbh yangu !pyeee !yaan ni zaid ya kharamu !nguruwe ana magonjwa meng sana ! dah thts y sipendag deep kiss
Mkuu nyama ichemshe iive halafu irost magonjwa yote kuleee Raha Kuna kwako, pia tupeleke muswada hii irasmishwe hata maukumbini iwemo, mana ya ng'ombe inatuvimbisha miguu na shinikizo la juu la damu+uzito mkubwa, ya mbuzi inapga na kuua joint 🎸
 
jaman ktk kitu amabvho hakitaingia mwilin mwangu ni hiki chakula !yaan nimeharibu asbh yangu !pyeee !yaan ni zaid ya kharamu !nguruwe ana magonjwa meng sana ! dah thts y sipendag deep kiss
Mbaazi Kukosa Maua Unasingizia Jua![emoji56][emoji15][emoji12]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…