KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

Attachments

  • IMG-20171029-WA0037.jpg
    IMG-20171029-WA0037.jpg
    96.2 KB · Views: 37
Jumapili hii mkuu. Huku kwetu inapatikana kwa shida sababu ya wale jamaa ni wengi sana
 
Hivi ni vishawishi..
Baada ya kusoma post hii taratibu
nimeanza safari hadi baa ya jirani wanapouza niko nasubiri iive
 
Hakuna nguruwe anaepigwa rungu,ila anachinjwa Kama mbuzi ndiyo maana hata Mimi nakula bila hofu, maana dini yetu inaturuhusu tule tukiwa na njaa
 
Back
Top Bottom