KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

hahaha [emoji23][emoji28] we jamaa unataka kuleta shida kwa watu leo, umeteka hisia za wengiii

ngoja nivumilie tu hadi weekend hakuna namna.
 
Hahahahahahaha hapo kwenye kivuli safiiiiiii huku unaappointment na mchepuko, halafu salary ipo ya kutosha, gari umeshafanya Service ya kutisha na iko full tank na mama home ameshapata mpunga wake huna deni na mtu dah nakuambia unaweza kulaumu kwanini kuna kufa kaka

Mbaya zaidi kuna demu ulimtokea akakataa sasa unaona calling yake yaani papuchi kibao tu zinakutafuta duuuh maaanina unaweza kuona Tz sio nchi ya kukimbia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Uipate ile nyama iliyorostiwa mpaka ikageuka kuwa brown, afu pembeni unawekewa pilipili za kukata zile... zimechanganywa zile za kijani na moja inayoelekea kwenye wekundu hiviii. Pembeni tena kuna vipande viwili vya ndimu zile kubwakubwa pamoja na chumvi.

Hiyo uipate na dona au ndizi kama 3 hivi zilizokaangwa. Kabla hata hujamaliza kuikagua sahani kama kila ulichoagiza kimefika unaambiwa na mhudumu "naomba unawe".... unamuangalia kidogo usoni then unakinga mikono unanawa, maji vuguvugu saaafi kabisa.

Anamaliza anaondoka unamsindikiza kidogo na jicho la kiwizi then unairudia sahan yako. Unapiga one touch moja unakamata kipande cha kitimoto kilicholowa rosti zito unakitupia mdomoni na kabla hujatafuna sana unang'ata na kipande cha pili pili. Then baada ya hapo unachukua kipande cha ndimu na kuanza kukamulia taratiiibu kwenye rosti yako huku ukiiangalia kwa madaha beer yako iliyopo pembeni na imefungwa tishu kwa juu.....

......Itaendelea[emoji39]
 
[emoji241] [emoji241] [emoji241] [emoji241] [emoji241] [emoji241] [emoji241] [emoji241]
Hebu njo tuchinje mmoja hapa
 
Uipate ile nyama iliyorostiwa mpaka ikageuka kuwa brown, afu pembeni unawekewa pilipili za kukata zile... zimechanganywa zile za kijani na moja inayoelekea kwenye wekundu hiviii. Pembeni tena kuna vipande viwili vya ndimu zile kubwakubwa pamoja na chumvi.

Hiyo uipate na dona au ndizi kama 3 hivi zilizokaangwa. Kabla hata hujamaliza kuikagua sahani kama kila ulichoagiza kimefika unaambiwa na mhudumu "naomba unawe".... unamuangalia kidogo usoni then unakinga mikono unanawa, maji vuguvugu saaafi kabisa.

Anamaliza anaondoka unamsindikiza kidogo na jicho la kiwizi then unairudia sahan yako. Unapiga one touch moja unakamata kipande cha kitimoto kilicholowa rosti zito unakitupia mdomoni na kabla hujatafuna sana unang'ata na kipande cha pili pili. Then baada ya hapo unachukua kipande cha ndimu na kuanza kukamulia taratiiibu kwenye rosti yako huku ukiiangalia kwa madaha beer yako iliyopo pembeni na imefungwa tishu kwa juu.....

......Itaendelea[emoji39]
Inaoneka Uko maeneo ya resort kimara
 
Siku nyingine jaribu kuanza na mwendokasi 1, 2.... ya 3 ikiwa nusu chupa ndio stori yako iendelee... Trust me utakuja kuandika page 7 zaidi kwa utamu mara 10 zaidi utakaokutana nao.
 
Back
Top Bottom