KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

Wengine kuiona kwa picha tu ni kichefu chefu
 
Hahahahahahaha hapo kwenye kivuli safiiiiiii huku unaappointment na mchepuko, halafu salary ipo ya kutosha, gari umeshafanya Service ya kutisha na iko full tank na mama home ameshapata mpunga wake huna deni na mtu dah nakuambia unaweza kulaumu kwanini kuna kufa kaka

Mbaya zaidi kuna demu ulimtokea akakataa sasa unaona calling yake yaani papuchi kibao tu zinakutafuta duuuh maaanina unaweza kuona Tz sio nchi ya kukimbia
 
Ha h aha ha ulivyooongea kwa msisitzo sasa kwel "Muhudumu Ongeza Glassiiii"
 
Ukitoa nyama ya hamu hakika hakuna nyamatamu kama Kitimoto inasindikizwa na kinywaji chochote iwe beer,soda,togwa hata dafu..
 
Hhahahah we jamaa ni bwe.he sana,mambo zangu hizo yaani dats my formula, hapa udenda nimeudakia level ya mfuko wa shati[emoji13] [emoji13]
 
Sikuzote ukiwa huna hela ndiyo unatamani nyama choma soup, mtori balimi mkuu. Ukiwa na laki I siyo na budget, wali maharage unashuka vizuri tu.
Ila huyu kiumbe yupo very exceptional, kuna waarabu wanaishi Dubai kila wajapo nchini hushinda wakivizungukia hivyo vibanda vinavyo tengeneza huyo mdudu, unaweza ukadhani wanafanya assessment ili baadaye waje kuvilipua, cha ajabu naada ya diku mbili wanarudi tena. Huwa wanakua wanakaa maeneo yao maaluma yasiyo changamana
 
Daah, bila kujitambua nimejikuta nikidondosha denda la uchu hivi hivi dadadeki, huyu mnyama! Acha kabisa, meno yangu mabovu lakini hivyo hivyo, potelea mbali
 
Ila huyu kiumbe yupo very exceptional, kuna waarabu wanaishi Dubai kila wajapo nchini hushinda wakivizungukia hivyo vibanda unaweza ukadhani wanafanya assessment ili baadaye waje kuvilipua, cha ajabu naada ya diku mbili wanarudi tena. Huwa wanakua wanakaa maeneo yao maaluma yasiyo changamana
Hakuna aliye kamilika hapa duniani. Mimi ninapenda bacon ndani ya kipande cha toast upate na kahawa asubuhi
 
Back
Top Bottom