KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

Kwa mara ya kwanza nakomenti kwenye uzi wako.. Nina mengi sana ya kuchangia but nahisi nimeshasahau nilichokuwa nataka kucoment.
 
Nakumbuka milipokuwa advance tulikuwa tumeketi sehemu na kujadili utamu wa huyu mdudu hakika ulimwengu hakuna kiumbe mtamu kama huyu nguruwe bhasi tukaeñdelea na mjada kwa nn wenzetu hawatumii huyu mdudu nakumbuka jamaa alitusimulia kuwa huko maccer wakoenda kuhiji hwa ndugu zetu kitimoto ilionekana kuwa nyama tamu kupita zote hivo wale wakuu wakatangaza kuwa hakuna mtu yeyote kula nguruwe ila inasemekana analiwa na wakubwa
sijui ni kweli???
 
Na uzuri wao wanakula kila kitu kuna watu makatili wanafuga huyu mdudu ukiingia 18 zao unakuwa mboga yao
Labda ndio maana mnasema mtamu

Sent from my SM using Tapatalk
 
Nakumbuka milipokuwa advance tulikuwa tumeketi sehemu na kujadili utamu wa huyu mdudu hakika ulimwengu hakuna kiumbe mtamu kama huyu nguruwe bhasi tukaeñdelea na mjada kwa nn wenzetu hawatumii huyu mdudu nakumbuka jamaa alitusimulia kuwa huko maccer wakoenda kuhiji hwa ndugu zetu kitimoto ilionekana kuwa nyama tamu kupita zote hivo wale wakuu wakatangaza kuwa hakuna mtu yeyote kula nguruwe ila inasemekana analiwa na wakubwa
sijui ni kweli???
Kwahiyo ndugu zetu walimzuia kwa kuwa ni mtamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom