Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wana mimba changa hao waache.Wengine kuiona kwa picha tu ni kichefu chefu
Kama makafiri kwa kula kiti moto basi mimi nipo kafiri kihalali kabisa, haya sasa nyie msio kula kitu moto mwala tigo nyie sio kafiri kabisa.Makafiri kila sehem yapo tu.
Hayakosi kitu...
Duuh,!!!
Sikuzote ukiwa huna hela ndiyo unatamani nyama choma, soup, mtori balimi mkuu. Ukiwa na laki I siyo na budget, wali maharage unashuka vizuri tu.Hapa mfukoni Nina buku tano inatakiwa ifike hadi kesho
Sasa naona unataka haribu bajeti yangu
Vipi mkuu nikushike shatiha ha ha ha ha leo naenda kuipiga wakati wa lunch
Ila huyu kiumbe yupo very exceptional, kuna waarabu wanaishi Dubai kila wajapo nchini hushinda wakivizungukia hivyo vibanda vinavyo tengeneza huyo mdudu, unaweza ukadhani wanafanya assessment ili baadaye waje kuvilipua, cha ajabu naada ya diku mbili wanarudi tena. Huwa wanakua wanakaa maeneo yao maaluma yasiyo changamanaSikuzote ukiwa huna hela ndiyo unatamani nyama choma soup, mtori balimi mkuu. Ukiwa na laki I siyo na budget, wali maharage unashuka vizuri tu.
Hakuna aliye kamilika hapa duniani. Mimi ninapenda bacon ndani ya kipande cha toast upate na kahawa asubuhiIla huyu kiumbe yupo very exceptional, kuna waarabu wanaishi Dubai kila wajapo nchini hushinda wakivizungukia hivyo vibanda unaweza ukadhani wanafanya assessment ili baadaye waje kuvilipua, cha ajabu naada ya diku mbili wanarudi tena. Huwa wanakua wanakaa maeneo yao maaluma yasiyo changamana
Kama we huli kaa kimya hii mi mtu sijui ipoje yaani lipo tayri kuganya dhambi zote ila kitimoto ndo yameona dhambi kubwaMakafiri kila sehem yapo tu.
Hayakosi kitu...
Duuh,!!!