kibatala nime appear naye mara nyingi sana mahakamani. sisemi hearsay, ninamjua. Tundu Lisu nimeshindana naye lakini IQ yake hata kama anaongea kitu cha uongo atkaupoteza. unajua kuna kusoma na kufanyia kazi elimu, ila pia kuna kusoma na kipawa ulichozaliwa nacho, ukichanganya kisomo na kipawa hasa cha kujielewa na ukawa na IQ ya kuchanganya haraka na kupata jibu haraka, unakuwa tofauti. Tundu Lisu IQ yake ipo juu sana hata ukiongea naye uwe makini atakuaibisha ukifanya mchezo. huyo uliyemtaja mwingine zao la mzumbe, sitaki kumchambua hapa, ila ni mwanasiasa mzuri na mtu anayetumia hasira kuargue bila point za maana za kisheria. hata kwenye kesi ya mbowe mmebugi sana kuwapa watu wasioeleweka, na mtashindwa.