Kitivo cha sheria udsm hakunaga 1st class, why?

Kitivo cha sheria udsm hakunaga 1st class, why?

Ndiyo alimaanisha hivyo nilikuja Kuamin siku naenda field nawakalisha chini kuwafundisha namna ya kuandika memorandum of agreed facts
Kuna mdogo wangu alisoma college moja mwanza kahangaika Sana kisa kukaa na mtoto WA lecture [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndiyo alimaanisha hivyo nilikuja Kuamin siku naenda field nawakalisha chini kuwafundisha namna ya kuandika memorandum of agreed facts
pale mwalimu anakuja kukufundisha kidogo afu anasema kasome mwenyewe, na mwalimu ni muungu mtu, ukimzingua atakukalisha udisco. nasema toka moyoni, Mungu alinisaidia baada ya hapo nikasoma Masters Ulaya, waalimu kule wanakufundisha kwa kukusaidia uelewe kabisa, na ni marafiki. udsm wanakukandamiza ili ufeli maisha ufanane na wao. ni hii awamu ya magufuli tu amewabeba wengi, ila isingekuwa hivyo, wengi wanaishiaga kutazama tu wanafunzi waliowakandamiza wanavyochanja mbuga kimaisha, na ajabu yake, watoto wao wenyewe huwa hawaji kuwa waalimu, wanakuja kuajiliwa au kuwa chini ya hao hao wanafunzi waliowasomesha. sasa asijulikane jina, mfano waliosoma pale, yule profesa aliyestaafu wa Land, ati mtu aitwe tu kwa jina lake la ukoo, hakuna lawyer atakayemsaidia hata kimkuta mikumi anataka kuliwa na simba.(kidding).
 
Kuna mdogo wangu alisoma college moja mwanza kahangaika Sana kisa kukaa na mtoto WA lecture [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sina hakika sana na hiyo college hujaitaja jina.. ila haya mambo yapo
 
pale mwalimu anakuja kukufundisha kidogo afu anasema kasome mwenyewe, na mwalimu ni muungu mtu, ukimzingua atakukalisha udisco. nasema toka moyoni, Mungu alinisaidia baada ya hapo nikasoma Masters Ulaya, waalimu kule wanakufundisha kwa kukusaidia uelewe kabisa, na ni marafiki. udsm wanakukandamiza ili ufeli maisha ufanane na wao. ni hii awamu ya magufuli tu amewabeba wengi, ila isingekuwa hivyo, wengi wanaishiaga kutazama tu wanafunzi waliowakandamiza wanavyochanja mbuga kimaisha, na ajabu yake, watoto wao wenyewe huwa hawaji kuwa waalimu, wanakuja kuajiliwa au kuwa chini ya hao hao wanafunzi waliowasomesha. sasa asijulikane jina, mfano waliosoma pale, yule profesa aliyestaafu wa Land, ati mtu aitwe tu kwa jina lake la ukoo, hakuna lawyer atakayemsaidia hata kimkuta mikumi anataka kuliwa na simba.(kidding).
Shida ni hiyo ... japo kila chuo kina ujinga wake

Nikija kuwa Lecturer naomba Mungu aniepushe na hizi akili za kukomoa mtu...
 
Shida ni hiyo ... japo kila chuo kina ujinga wake

Nikija kuwa Lecturer naomba Mungu aniepushe na hizi akili za kukomoa mtu...
unakomoa mtu, anapambana wee, alafu anakuja kuajiri mtoto wako au anakuajiri wewe mwenyewe kwasababuk ilawfirm chako wewe lecturer hakina kichwa wala miguu. dunia ni kigeugeu sana. malecturer hao karibia wote wale wenye uwezo kupractice, vilawfirm vyao ni kama vya uswahilini tu (ondoa Doctor wangu, Dr. Tenga), na wengine wameajiriwa na wanafunzi wao ambao waliwanyima first class.
 
Dr Tenga ni mtu na nusu kila mtu anamuappreciate hata Dr wangu aliyenifundisha Land alipita mikononi mwake...
 
Kama umefanikiwa sana maisha yanini una makasiriko na uliowapita?

Au unatudanganya hapa?

Ni hivi kaka,wewe kukosa first class ni upumbavu wa kichwa chako wewe,no one is responsible of you not to have brains big enough to get that first class.

Ni ajabu matoto hua yakifeli yanarushia lawama professors,yenyewe hayanaga makosa,hapana,ni wengine!

Mwanasheria unaefaulu mahakamani hata Kiswahili hujui kunadika vizuri,hapo hatujazungumzia Kingereza!

Muongo wewe,unatudanganya pahala!

Makasiriko yako laumu ubongo wako binafsi na sio wanadamu wengine wanaotimiza wajibu wako wa kukutahini inavyotakiwa!
nina watoto na wadogo zangu na ndugu zangu ambao wanasoma na wengine watasoma hapo. pia, icho chuo sio mali yenu, ni chuo cha umma, ni cha watanzania, usinipangie cha kuongea kwenye chuo changu. au alijenga baba yako icho?
 
Mimi nimesoma Engineering,Coet,miaka hiyo....

Na mahali wanapofeli kisawasawa hua ni engineering,you know this....

Mimi mfanyabiashara na sipo kwenye kazi za kufundisha vyuoni

Nipo hapa naangalia pragmatically hoja zenu za kipumbavu

Maprofessor ni watu kama mimi na wewe,na wapo pale kutafuta kipato,na kama ana beef na wewe makusudi atakufelisha wewe au watatu au wanne au maximum tufanye 20

Ila watoto LLB hua ni zaidi ya 300,hua semester moja wanafeli 150...tuseme prof anawajua wote na ana chuki binafsi na mmoja mmoja wote hao?Jibu ni hapa

Jawabu sahihi ni kwamba,hao watoto wamefeli sababu ya bongo zao mbovu,nothing prof gains or loose kwa wewe kufeli,mshahara wake upo pale pale regardless

Ni upumbavu na ujinga wa bongo zenu za hovyo na hamfai kusoma hiyo fani nendeni mkasome mambo mengine yenye kuhitaji vichwa vibovu..thats the FACT

Na wewe kusoma hapo na kua na ndugu na watoto na blah blah zingine ni useless hapa,wote mna akili mbovu ndio maana ulianza kufeli wewe na watafuata hao ndugu zako wote...hamna mental capability ya ku-process hiyo course,msilazimishe kafanyeni mengine au mridhike na marks mtakazopata muende na maisha yenu

Na wewe kua na hela zaidi ya maprof who cares?Nani even wants to know una kiasi gani cha pesa?Thats your money,its none of anybody's business...kila mtu ana kipato chake,kama chako kikubwa ni chako with your own family

Hapa unaonesha makasiriko tu yasiyo na maana...mitihani ilikunyoosha,sad enough usilaumu wanadamu wengine,pangusa matako kafanye maisha yako upate mahela mengi hayo unayosemea punguza kulaumu wengine wanaotimiza kazi zao za kukutahini
kumbe najibizana na mtu aliyesoma coet? ningejua hilo nisingepoteza muda wangu. akili za coet hazina uwezo kujadili na mwanasheria. hebu tupishe.
 
kibatala nime appear naye mara nyingi sana mahakamani. sisemi hearsay, ninamjua. Tundu Lisu nimeshindana naye lakini IQ yake hata kama anaongea kitu cha uongo atkaupoteza. unajua kuna kusoma na kufanyia kazi elimu, ila pia kuna kusoma na kipawa ulichozaliwa nacho, ukichanganya kisomo na kipawa hasa cha kujielewa na ukawa na IQ ya kuchanganya haraka na kupata jibu haraka, unakuwa tofauti. Tundu Lisu IQ yake ipo juu sana hata ukiongea naye uwe makini atakuaibisha ukifanya mchezo. huyo uliyemtaja mwingine zao la mzumbe, sitaki kumchambua hapa, ila ni mwanasiasa mzuri na mtu anayetumia hasira kuargue bila point za maana za kisheria. hata kwenye kesi ya mbowe mmebugi sana kuwapa watu wasioeleweka, na mtashindwa.
Mtu mwenye akili njema hawezi leta uzi wa namna hii. Bado mtoto weye kua uyaone.
 
Back
Top Bottom