Kitivo cha sheria udsm hakunaga 1st class, why?

Duuuh umeharibu mwishoni hapo. Japo ulikua na hoja ya msingi sana.
 
Hapo udbs ukimaliza shule salama, unashukuru Mungu.
 
wewe ni mjinga halafu hujui shule.
nakwambia Wanafunzi ni wavivu sana, wengi wanataka shotikati, ndio maana unasikia sikuhizi rushwa ya NGONO imetamalaki UD na hata vyuo vingine.
 
nakwambia Wanafunzi ni wavivu sana, wengi wanataka shotikati, ndio maana unasikia sikuhizi rushwa ya NGONO imetamalaki UD na hata vyuo vingine.
kwahiyo hata wanafunzi wa kiume wanatoa rushwa ya ngono? mbona unaongea pumba.
 
Mkuu nikikwambia mimi ni muhanga kabisa wa huyo prof alichonifanyia sitakuja kumsahau sijui raha yake ni nn? Afu ni mtu mzima roho mbaya sasa yy mm mfano nikitoboa anaumia nn?
ukitoboa wanaumia sana, wanataka mtu afeli tu. ni watu wa ajabu sana. mimi kuna lecturer fulani alinizingua sana kwenye disertation wakati namaliza. ajabu yake kila nikikutana naye mahakamani huwa napiga za uso hadi hasira ziniishe, na ninamshinda. amebaki amenywea na hata cheo kama wenzake serikalini hapati pengine kwasababu wanaoweza kumpigia mapande ni wale aliowaminya.
 
Unachukuliaje wakenya? Wametuzidi kwa kila kitu. Kama wewe kipanga nenda hapo Nairobi University, ukimbizwe kama kilaza kumbe kipanga .
 
Ulisoma chuo chochote cha ivy league?
 
Mkuu hivi unaijua vizuri nairobi university? Tuwape credit wenzetu kwa kuwekeza kwenye elimu sisi acha tuendelee kungoja teuzi!
 
Nakubaliana na wewe mkuu. They do have stupid mentalities
 
tunachojiuliza ni why only udsm, tumesoma udsm, tumeenda kusoma ulaya pia, tumeona vitu viwili tofauti, kuna chuo gani kingine east africa kinabana na hakitoi first class kama udsm? and still, udsm sio chuo bora africa au hata east africa? ingetegemewa basi udsm iwe bora east africa au hata africa, lakini hata 20 bora hakipo africa, pamoja na kuumiza wanafunzi kwa kigezo cha kuprooni. kitu cha ukweli ni kwamba, waalimu wana wivu wa kufaulisha, hawajui kuelewesha wanafunzi au ni ujinga walioukuta tangu enzi za kina Fimbo, wamestaafu wakishindwa kesi mahakamani na wamebaki na uzee wao. wale waliowabania ndio wamefanikiwa katika maisha.
 
Mkuu hivi unaijua vizuri nairobi university? Tuwape credit wenzetu kwa kuwekeza kwenye elimu sisi acha tuendelee kungoja teuzi!

University of Dar es Salaam mwaka jana kilikuwa cha 31 Africa, pamoja na ugoloko wote, Nairobi University cha 9, Makerere cha 18.​

2021 Top 200 Universities in Africa​

 
I dont get your point

Unataka UDSM ikupe First Class kama unavyotaka ili iwe chuo cha kwanza kwa ubora?

Stop this nonsense
tunahoji tu, kama huwa mnao uwezo kufundisha mwanafunzi hadi akapata first class. najua hawa malecture karibia wote, ukiondoa majamba, hawakupata first class. na tuliosoma hapo tunajua tunachomaanisha, hata uwe na uwezo namna gani, utabaniwa tu, mnafundisha kwa ajili ya mtu kujibu mtihani sio kuelewa kwasababu kitu pekee mnachofanya ni kutafuta mwanafunzi afelishwe sio afaulu. ndiu ujinga wenu.

pia, kama kuchuja wanafunzi, mbona ninyi tu, mbona vyuo ulaya huko vizuri vina miaka zaidi ya 500 na wakifundisha unawaelewa na hawapo kuwinda wanafunzi kama ninyi? mimi nilishasoma miaka hiyooo, wala sihitaji first class, naongea uhalisia mlio nao.

pia, pamoja na kuchuja, mbona Nairibo ni ya 9, makerere 18 na ninyi 31 Africa, na wao wanatoa first class nyingi tu, you were expected to be number one in Africa kama kweli huwa mnakuwa mnachuja kwa kufelisha wanafunzi, kama kwa kufanya hivyo kunawafanya muonekane mnao uwezo kufundisha. nje ya hapo manake ninyi either hamna uwezo kufundisha wanafunzi wakaelewa, au mna wivu mnapenda ninyi tu ndio mfaulu. kama sio ujinga ni nini? na mkija mtaani tunawazidi maisha na uwezo mahakamani.
 
wakenya wanakuja kusoma tz/udsm every year na hawajawahi kupata first class. mention even one. kubalianeni na ukweli kwamba, aidha mna wivu wa kufaulu, mna akili za kiporipori kuamini kwamba mtu unayembania akafanikiwa ndiye mweney akili kwani mtakuwa mmemchuja, au hamna uwezo kufundisha. mtu mwenyewe umesoma degree ya kwanza udsm, masters udsm, phd udsm, utajua nini kunizidi hata mimi. nothing, tunaongea tu ili pengine mpunguze ushamba. mmezidi, na wala sio kwamba tunataka mtupatie first class, tulishamaliza hapo miaka zaidi ya 10, na tunawaona huku mtaani mnavyohangaika kupambana na sisi. na tutawatandika sana mahakamani ndezi wakubwa.kaeni na theory zenu, sisi tuna practical experience.
 
Wakati Namaliza A level miaka Hiyo kuna bro wangu amesoma LLB Udsm nikamuuliza vipi niapply pale akasema nenda vyuo vyote ila sio pale...
 
Wakati Namaliza A level miaka Hiyo kuna bro wangu amesoma LLB Udsm nikamuuliza vipi niapply pale akasema nenda vyuo vyote ila sio pale...
Kufupisha Story Nilienda SAUT mwanza Japo kwenye GPA hawabani ila kozi nyingi sanaa per semester
 
Wakati Namaliza A level miaka Hiyo kuna bro wangu amesoma LLB Udsm nikamuuliza vipi niapply pale akasema nenda vyuo vyote ila sio pale...
alikwambia hivyo sio kwasababu ni bora saaana, No, ni kwasabbu waalimu wanafelisha wanafunzi ovyo na kwa makusudi wakiamini wanafunzi watakaohangaika sanaa na kufaulu ndio watakuwa walikuwa na akili. ufundishaji wao ukilinganisha na maprofesa wa vyuo vingine ni wa kawaida mno, hata hawatakiwi kujisifu kabisa.
 
Ndiyo alimaanisha hivyo nilikuja Kuamin siku naenda field nawakalisha chini kuwafundisha namna ya kuandika memorandum of agreed facts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…