Kitu ambacho Membe hatokaa amsamehe Rais Magufuli maishani!

Huyo Membe akubali tu sasa akalime korosho na kuendesha hotel yake. Mambo ya siasa yamekwisha mpita mkono wa kushoto hivyo akubali tu yaishe kwani hakuna jinsi Jiwe atakuja kumfikiria kwa nafasi yeyote!!
Huo upuuzi wao hauna faida kwa watanzania
 
Uliwahi kujiuliza waliompa Sumu JPM mwaka 2012 akiwa Waziri kwa bahati akapona haikumdhuru walitumwa na nani na walikuwa na lengo gani!?.. unadhani JPM kaingia kwenye kinyang'anyiro cha uraisi kwa bahati mbaya!?.. Umewahi kujiuliza kwanini tangu 2012 JPM analindwa na mabodyguard tofauti na mawaziri wengine au huna taarifa!?.. Kuna mengi usiyoyajua kuhusu Siasa za nchi hii.
 
Membe analia njaa mpaka leo A/C zako zote zilifumgwa hana pesa anaishi kwa kudundukiza tu amejaa mawazo balaa
 
Membe ni muhuni kama wahuni wengine.
Sidhani kama ni muhuni lakini kwa kweli ni unprincipled man! Hana tofauti kabisa na Lowassa na Sumaye! Hana uhuni wala ujanja wowote. Wote wabebanwa na the so called system. Hamna jipya, tuishi tu tungalipo hai, tusitegemee chochote labda kifo na umaskini.
 
Stories za vijiweni nazo unazileta tuzijadili hapa?

Sidhani kama wakuu wa EAC wanaweza kupendekeza mtu atoke nchi fulani halafu wakaipangia hiyo nchi kwamba lazima awe fulani. Membe wasn’t and still isn’t the best of any diplomat in the country to deserve to be handpicked by the EAC heads in that manner, even if any appointee would ultimately have to be approved by them!
 
Uchaguzi uliopita ndo nilimwona membe master of failure ,nilikuwa namwonaga smart ila hata vijana kama Zitto wamemzidi sana akili,alikuwa anaonekana comedian tu.

From hero to zero heri hata angestaafu siasa
 
Lol! This is totally an embecile comment..you know nothing when it comes to english words and their uses bro..you better stop comment if you are politically motivated..we should be pro-Tanzania and not Pro-maembe.
 
duuuuuuh
Hapa mjinga mimi nimeunganisha dots
 
Uchaguzi uliopita ndo nilimwona membe master of failure ,nilikuwa namwonaga smart ila hata vijana kama Zitto wamemzidi sana akili,alikuwa anaonekana comedian tu.

From hero to zero heri hata angestaafu siasa

Bure kabisa; sijui ni kachero mbobezi gani huyo asiyekuwa na mbinu zozote za maana! Siwezi hata kumpigia kura kuwa mwenyekiti wa kitongoji changu.
 
Hayo yote ni maccm na roho mbaya ndio sifa yao kuu jiwe kayaharibu maisha ya watanzania wengi sana zaidi ya huyo membe wako
Mbona mbowe hataki covid 19 wawe bungeni
 
Wewe utakuwa
1. Membe mwenyewe
2. Mke/ndugu ya Membe
3. Mpambe

Membe hajawahi kuwa smart kiasi hata robo ya unavyomfikiria. Alivyo sasa ndiyo nafasi pekee inayomfaa.
 
Jiwe ana roho ya kichawi sababu amelelewa katika mazingira ya uchawi
 
Bure kabisa; sijui ni kachero mbobezi gani huyo asiyekuwa na mbinu zozote za maana! Siwezi hata kumpigia kura kuwa mwenyekiti wa kitongoji changu.

..akisalimu amri mbele ya Jpm mtaanza kumpamba na kumsifia.

..sasa hivi Membe ni mbaya kwasababu ametofautiana na mwenyekiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…