Kitu ambacho Membe hatokaa amsamehe Rais Magufuli maishani!

..ni vizuri waTz wakaanza kuchangamkia nafasi za ajira zinazopatikana ktk mashirika ya kimataifa kama UN, AU, EAC, Sadc, Jumuiya ya Madola, WB, IMF, etc etc.

..wasomi wa Kitanzania wajaribu kutafuta ajira za chini na za kati ktk mashirika hayo na baadae wapande ngazi mpaka nafasi za juu.
 
Huyo Membe akubali tu sasa akalime korosho na kuendesha hotel yake. Mambo ya siasa yamekwisha mpita mkono wa kushoto hivyo akubali tu yaishe kwani hakuna jinsi Jiwe atakuja kumfikiria kwa nafasi yeyote!!
Katika hali ya kawaida ni ngumu Sana kuwatengeneza viongozi wapya kuliko kuwatunza waliokwisha Iva.

Rais anakosea sana anapoona viongozi wote waliomtangulia hawakuongoza vizuri nchi hii.

Kibaya zaidi anazalisha viongozi wasiokuwa na vipaji vya uongozi Kama yeye alivyo.
 
Maria Sarungi kapost kuwa Serikali hii imewawekea ngumu Dr. Likwilile na Madam Mulamula kupata post huko AU!!

Kama ni kweli basi "Malaika Mkuu" sio kabisa
 
Maria Sarungi kapost kuwa Serikali hii imewawekea ngumu Dr. Likwilile na Madam Mulamula kupata post huko AU!!

Kama ni kweli basi "Malaika Mkuu" sio kabisa

..wangekuwa wamejikita UN, AU, WB, IMF, etc toka wakiwa ktk ajira za chini leo wasingelazimika kuwalamba miguu wakubwa serikalini.
 
..akisalimu amri mbele ya Jpm mtaanza kumpamba na kumsifia.

..sasa hivi Membe ni mbaya kwasababu ametofautiana na mwenyekiti.

Atasifia atakayesifia, lakini sio mimi. The guy isn’t smart enough to know what works and what doesn’t. His whole approach after the 2015 loss wouldn’t work anywhere (in any political party). He is dumb! Period.
 
Ndio mambo ya jiwe hayo
 
Mzee dk ya 90 toka siku iyo nilimpuuza kujifanya yy ni MANCHESTER ya mzee Fagason
 
Atasifia atakayesifia, lakini sio mimi. The guy isn’t smart enough to know what works and what doesn’t. His whole approach after the 2015 loss wouldn’t work anywhere (in any political party). He is dumb! Period.

..kosa lake ni kutokumlamba miguu bwana mkubwa.

..angemuiga Mzee Lukuvi; hajasoma lakini anajua jinsi ya kuishi na Jpm.
 
Umetumwa si bure
 
..kosa lake ni kutokumlamba miguu bwana mkubwa.

..angemuiga Mzee Lukuvi; hajasoma lakini anajua jinsi ya kuishi na Jpm.

Tatizo wala sio hilo. Tatizo ni kujaribu kufanya kitu ambacho kisingewezekana ndani ya chama chochote kile, katika arena ya siasa za Tanzania!
 
Kuchalenji chama ndiyo shida
 
..faida nyingine ingekuwa ni Watanzania kupata nafasi za kazi ktk sekretariet ya Jumuiya ya Madola.

..kama Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola angetoka Tz basi lazima baadhi ya key position ktk Ofisi yake zingejazwa ni Watanzania.
Sijawai kumuelewa Mafuguli
 
Umesahau Kufungia Fastjet ukitaka kujua Membe anahusishwaje na fastjet niulize
 
Sijawai kumuelewa Mafuguli

..kuna jamaa alikuwa mkurugenzi ktk shirika moja hapa Tz.

..alipoomba kazi ktk shirika la kimataifa akatumbuliwa.

..ni bahati kwamba jamaa alipata kazi ktk shirika hilo.

..nadhani Jiwe hapendi waTz wenye "kolifikeshen" za kupata ajira ktk mashirika au makampuni ya kimataifa.
 
Sitak kuji expose sana japo unanitaja kwa mafumbo
 
Katika masuala ya Sera za uchumi sjawah mkubali JPM, huyu mwamba ni one way thinking , Hana upeo mkubwa wa kufikri na kuongoza, japo amejaaliwa uwezo mkubwa wa usimamizi..... JPM Hana Sera yyte ya kuwasaidia watanzania kujikwamua na umaskini na yyte anyefikr JPM ni mtu sahihi Kwa uchumi wa nchi anajidanganya ....
 
mkuu habari za hapo IST[emoji38][emoji38].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…