Kitu ambacho Membe hatokaa amsamehe Rais Magufuli maishani!

hii ndio kanuni ya utumishi wa uma ngazi za juu.

hukurupuki tu kunyanyua kalio lako kisa umeona maslahi,lazima uombe ruhusa na uruhusiwe,ama utumwe kama kutumwa.
vinginevyo unakula red.
 
Hao waliokwisha iva na wenye vipaji ndio wakina nani? Kama ni wakina Membe afadhali kuwa na vijana wengine wapya wenye msimamo na maono ya kimaendeleo kuliko hao wezi , wasio kuwa na uzalendo na wazandiki wanaojidai wameiva na wanavipaji!!!
 
Maria Sarungi kapost kuwa Serikali hii imewawekea ngumu Dr. Likwilile na Madam Mulamula kupata post huko AU!!

Kama ni kweli basi "Malaika Mkuu" sio kabisa

Home-country backing of a candidate is not automatic! Kama kila candidate wa hizo positions angekuwa automatically anapewa support na nchi yake, basi AU isingekuwa hata na hiyo requirement.

Hata vyama vya siasa vinakata political candidates, kwa vigezo vyao!
 
hii ndio kanuni ya utumishi wa uma ngazi za juu.

hukurupuki tu kunyanyua kalio lako kisa umeona maslahi,lazima uombe ruhusa na uruhusiwe,ama utumwe kama kutumwa.
vinginevyo unakula red.

..kwa ngazi ninayoizungumzia, process ya kuomba kazi, kusailiwa, mpaka kupata kazi, ni ndefu na mhusika huwa hakurupuki tu.
 
..CJ Mohamed Chande Othman aliomba nafasi kuwa muendesha mashtaka mkuu wa ICC.

..JK hakumfanyia hiyana yoyote na alikuwa radhi Chande aachie u-CJ wa Tz akachukue kazi ICC.
 
..CJ Mohamed Chande Othman aliomba nafasi kuwa muendesha mashtaka mkuu wa ICC.

..JK hakumfanyia hiyana yoyote na alikuwa radhi Chande aachie u-CJ wa Tz akachukue kazi ICC.

Kama nilivyokwishasema, home-country backing of a candidate isn’t automatic. Anayepata backing anakidhi vigezo vya nchi. Chande, kama alipata backing, alikidhi vigezo!

Msiwe na focus ya waliokosa backing tu; wapo pia waliopata backing ya Tanzania!
 
Sijui ukweli wa habari yako, wala sitetei kuzibiana.

Lakini, Membe is a lightweight.

Kashindwa kubdeal na CCM tu, amekuja nanhela watu wamempiga Dar airport.

Intrigues za Commonwealth asingeziweza.

Amesoma Johns Hopkins, lakini akiongea hata huwezi kujua huyu kasoma Johns Hopkins.
 
..awamu hii hakuna vigezo vya nchi, kuna vigezo vya Jiwe.

..nakwambia kuna jamaa aliomba kazi ktk shirika moja la kimataifa akaishia kutumbuliwa.

..bahati nzuri alifanikiwa kupata kazi hiyo, na inalipa kuliko kazi aliyokuwa akiifanya awali.
 
Dr. Mwele Malechela na Dr. Likwalile nao wamewekewa kauzibe kule African Union Commisions(AUC).

So itabidi AUC itafute watu wengine kwenye nafasi na bila shaka watatoka kwenye nchi nyingine.

Mitano tena,atake asitake.
 
Lol! This is totally an embecile comment..you know nothing when it comes to english words and their uses bro..you better stop comment if you are politically motivated..we should be pro-Tanzania and not Pro-maembe.
Kiingilish kama cha konki master
 
Wewe ndiye Membe mwenyewe au shemeji yake.
 
..awamu hii hakuna vigezo vya nchi, kuna vigezo vya Jiwe.

..nakwambia kuna jamaa aliomba kazi ktk shirika moja la kimataifa akaishia kutumbuliwa.

..bahati nzuri alifanikiwa kupata kazi hiyo, na inalipa kuliko kazi aliyokuwa akiifanya awali.

Hiyo ndiyo story yake! Story ya ule upande wa pili ukoje?
 
Akuanzae mmalize,nafikiri umenielewa
 
tatizo nchi yetu kuna baadhi ya watu wanaona wao wana haki ya kupata kila kitu kinacho jitokeza mbele yao,
binafsi siwakubali hao walio tajwa hapo
 
Dr. Mwele Malechela na Dr. Likwalile nao wamewekewa kauzibe kule African Union Commisions(AUC).

So itabidi AUC itafute watu wengine kwenye nafasi na bila shaka watatoka kwenye nchi nyingine.

Mitano tena,atake asitake.

Mwele, a reckless scientist aliyetangaza mlipuko wa ugonjwa (Zika) nchini, ambao haukuwepo? Naye unataka apate support ya nchi aliyoihujumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…