Kitu ambacho Membe hatokaa amsamehe Rais Magufuli maishani!

Kama huna utii na unyenyekevu kwa wakuu wako kisa unajua hayo ndio madhara yake. Unabaki "kujua na kubobea" mtaani tu! Kazi na Bata!
 
Inasikitisha kwa mkristo kuwa na roho ya kinyongo na kuzibia watu riziki. Sijui huko kanisani unaenda kufanya nini.

Naamini hata Uislamu hauruhusu kuzibiana riziki
 
Acha kusema uongo, kama ni afrika mashariki na ni opportunity ya afrika mashariki, basi angeweza kutoka Kenya, au Uganda na kazi hizo zina kuwa na lobbying , ya taifa lenye Mtu kumpigia lobbying mtu wao. Kwa kusema kwamba zamu ilikuwa ya afrika mashariki na kuna huo mpunga, je Kenya hawakuwa na Mtu Uganda je au Tanzania Visiwani au Rwanda
 
Unaleta uzushi wa kimbea jukwaani kwahivyo Tanzania yooote aliyetakiwa alikuwa Membe tuu alivyozuiwa ndobasi??
Wanasema umbea huanzishwa na wenye wivu,husambaza na wapumbavu na huaminiwa na wajinga.
Huyo unayemwusudu nenda kampe kazi nyumbani kwako
 
Have you head frog dreaming,when and how
Just for correction ..write heard instead of head.
Now lets go.
Yes i did...The frog normally dream of chasing animals from drinking the water it dwells in..
 
Yaani Membe kwa kujifagilia! Huyo Membe hatufai kutuwakilisha kama nchi! Kama hukukuwa na mtu mwenye vigezo vya kutuwakilisha zaidi ya Membe, basi ni bora kutokuwakirishwa kabisa! Nampa kongole Magu kwa kuliona hilo!
 
Upo kando ya barabara, unapiga zumari ukitarajia kokoto zianze kucheza!! Never ever!!
Nimecheka sana kwa haya mneno uliyoandika tu, wabongo mnajifanya na misamiati sana
 
Hao jumuia.ya madola kwa nini wachagulie nchi mtu wanaemtaka badala ya nchi kuchagua mwakilishi anayefaa?
Kwa hiyo walitaka kuweka kibaraka wao sio?

Wakati akiwa madarakani huyo membe ni maendeleo gani yalipigwa ki hatua katika nchi hii zaidi ya kuiita nchi ya kifisadi?

Kama alisifika ki diplomasia ni ajira ngapi zilipatikana kutokana na nchi hizo kuweka viwanda na kulipa pato stahiki la serikari?

Au wewe umetumwa na Amsterdam?
 
mkuu embu dadavua kidogo maana sijaelewa swali lako au unajaribu kufikisha ujumbe kuwa hii inawezekana ikawa sababu ya Kuondolewa kwa JIWE maana jamaa wetu Membe tagu Jiwe afariki sijui amejifichia wapi au atakuwa kwenye ile hoteli yetu ya Dubai akifualia vilio vya watanzania huku akigonga cheers!
 
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿

Ripoti Ya CAG imeonesha ubadhirifu wa
Dola Mil 29 hivi za Ghadaffi zilizokua zijenge kiwanda cha Mbolea Lindi !
Hapa huyu kachero mbobezi hausiki kweli !?
Naona hili halijazungumzwa kabisa humu wakati CAG ali likazia kabisa juzi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…