Acha tu! Nilikuta matunguli, mkia wa ng'ombe,ubuyu gunia zima na maji ya rangi rangi, mwisho wa siku ananiambia tunywe hayo maji aliyochanganya na ubuyu ili kulinda urafiki wetu huku ananizungushia huo mkia wa ng'ombe kichwani...aisee bahati yangu imani hizo zimenipita kando.
jamaa nilimkuta na chupi ya demu getto na nafahamu kabisa hana demu ikabidi nimbane ndio akasema kwamba ameiiba bafuni (anaishi nyumba ya kupanga na kuna wanawake) hivo basi huwa anaitumia kwenye shughuli pendwa za kile chama cha chaputa