Kitu cha ajabu ulichokuta kwa rafiki/jamaa!

Kitu cha ajabu ulichokuta kwa rafiki/jamaa!

muzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,041
Reaction score
1,457
Nilipowatembelea baadhi ya marafiki zangu kuna vitu vya ajabu nimekutana nazo. Vitu hivi vinachekesha na vingine vinaogofya ama kutisha.

Kuna mmoja nilikuta geto yake ana kitanda cha hospital

Jemba mwingine nilikuta glass 20 za baa geto kwake.

Hebu share nawe ulichokuta kwa rafiki yako ambayo ni amazing, wonderful and inspiring.
 
Acha tu! Nilikuta matunguli, mkia wa ng'ombe,ubuyu gunia zima na maji ya rangi rangi, mwisho wa siku ananiambia tunywe hayo maji aliyochanganya na ubuyu ili kulinda urafiki wetu huku ananizungushia huo mkia wa ng'ombe kichwani...aisee bahati yangu imani hizo zimenipita kando.
 
jamaa nilimkuta na chupi ya demu getto na nafahamu kabisa hana demu ikabidi nimbane ndio akasema kwamba ameiiba bafuni (anaishi nyumba ya kupanga na kuna wanawake) hivo basi huwa anaitumia kwenye shughuli pendwa za kile chama cha chaputa
 
Back
Top Bottom