Ahsante sana dada angu yaan wacha tu nikikaa nikikumbuka vitu nilivyokua nimehifadhi kwenye sim na pc naumia sana..Ouch pole sana!
View attachment 521017SAD AND TOTALLY SAD!
Hii inauma zaidi dada bora usingeiweka unatutonesha kidonda..View attachment 521017SAD AND TOTALLY SAD!
Kama mimi vileKufa kwa Yesu kristo msalabani n kitafakari hua nasisimka sana .
[emoji3][emoji3][emoji3]pale bashite alipokataa kutoa vyeti nilisisimkwa kwa hasira sana
We acha tu! Shock of my life really! Too painful to bare!Hii inauma zaidi dada bora usingeiweka unatutonesha kidonda..
Sorry nawe kupata access prime minister kwenye ikulu yako..We acha tu! Shock of my life really! Too painful to bare!
Yani umenichekesha kuliko kawaidaHua nasisimka sana nikikumbuka siku nilipo mpiga denda dem flan asubuhi kabla hatujaswaki et tunajifanya wazungu...
Aisee nasisimka sana maana nilizibua mzinga wa asali za nzi..
Ladha haieleweke ka umekula karanga na dagaa.
[HASHTAG]#Mondray2017[/HASHTAG]
Mama weeeee pole babaNikikumbuka Juzi tarehe 5 June nasisimka na kulia kabisa..
Maana nimetoka kazini naingia getoni nakuta wamenikomba Laptop mpya na simu ya Samsung S4.. aisee Mungu anawaona walio iba maana wamenirudisha kutoka Dar hadi kolomije kwa miguu
hahahah kweli kabsaa MUNGU wako yupo duniani mkuu hata siyo mbinguni
ππInawezekana, maana siku zingine huwa najiuliza....je, kama yule nyoka angenigonga makalioni ama mgongoni? Kibaya Zaidi, je kama angelikamata dushe kuzania kuwa ni panya au mjusi, ingekuwaje? Nyoka si chatu ila alikuwa mkubwa balaa, na nafikiri alikimbia baada ya kusikia lile bomu la ushuzi alifikiri anataka kukamatwa kumbe kijana nilikuwa najisaidia tu kuondoa gesi.
Daaah yaani nimebaki na kasim kadogo HTc daahMama weeeee pole baba
Daaah yaani nimebaki na kasim kadogo HTc daah
hhahahahahahaha, haki hakuna alielewa maana ya huu uzi kama weweMwaka 1994, wakati tunaenda Tanga na bus, tulifika sehemu moja hivi mbele kidogo baada ya kuvuka Chalinze dereva akasimamisha bus na kutaka tuchimbe dawa. Mimi nikaenda mbali kidogo na wenzangu kwani nilikuwa nina haja kubwa. Nikazama kwenye kichaka, ile kuinama tu na kutoa bonge la ushuzi.....alitoka bonge la nyoka sijuwi tokea wapi akapita katikati ya makalio yangu na dushe huku akikimbia. Kwa kweli Mungu yupo duniani, yaani nikikumbuka lile tukio na ukubwa wa yule nyoka huwa nasisimka wakati mwingine.
Ila anatufungua macho waTz abarikiwe aliponasisimka mno nikiona mange kimambi anavyoianika uchi serikali ya tz yani mpaka nadindisha......
[emoji120] [emoji120]πππ
pole sana Mkuu