Kitu gani ambacho ukikaa kukumbuka kina kusisimua?

Kitu gani ambacho ukikaa kukumbuka kina kusisimua?

IMG_1023.JPG
SAD AND TOTALLY SAD!
 
Hua nasisimka sana nikikumbuka siku nilipo mpiga denda dem flan asubuhi kabla hatujaswaki et tunajifanya wazungu...
Aisee nasisimka sana maana nilizibua mzinga wa asali za nzi..

Ladha haieleweke ka umekula karanga na dagaa.

[HASHTAG]#Mondray2017[/HASHTAG]
Yani umenichekesha kuliko kawaida
 
Nikikumbuka Juzi tarehe 5 June nasisimka na kulia kabisa..
Maana nimetoka kazini naingia getoni nakuta wamenikomba Laptop mpya na simu ya Samsung S4.. aisee Mungu anawaona walio iba maana wamenirudisha kutoka Dar hadi kolomije kwa miguu
Mama weeeee pole baba
 
hahahah kweli kabsaa MUNGU wako yupo duniani mkuu hata siyo mbinguni

Inawezekana, maana siku zingine huwa najiuliza....je, kama yule nyoka angenigonga makalioni ama mgongoni? Kibaya Zaidi, je kama angelikamata dushe kuzania kuwa ni panya au mjusi, ingekuwaje? Nyoka si chatu ila alikuwa mkubwa balaa, na nafikiri alikimbia baada ya kusikia lile bomu la ushuzi alifikiri anataka kukamatwa kumbe kijana nilikuwa najisaidia tu kuondoa gesi.
 
😀😀
 
Mwaka 1994, wakati tunaenda Tanga na bus, tulifika sehemu moja hivi mbele kidogo baada ya kuvuka Chalinze dereva akasimamisha bus na kutaka tuchimbe dawa. Mimi nikaenda mbali kidogo na wenzangu kwani nilikuwa nina haja kubwa. Nikazama kwenye kichaka, ile kuinama tu na kutoa bonge la ushuzi.....alitoka bonge la nyoka sijuwi tokea wapi akapita katikati ya makalio yangu na dushe huku akikimbia. Kwa kweli Mungu yupo duniani, yaani nikikumbuka lile tukio na ukubwa wa yule nyoka huwa nasisimka wakati mwingine.
hhahahahahahaha, haki hakuna alielewa maana ya huu uzi kama wewe
 
Napata wakat mgumu sana pale nnapokuwaga na shida ya ela halfu nikukumbuka simjui hata wa kumkopa nakuwa confusion hadi nackia kuugua😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom