kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Pale kwetu ilikua ukivuta kidogo unakutana na adhabu.Nitakupm nikiifungua mkuu.
Sema Mimi nilikuwa sichelewi sana na sijawahi bahatika kupata adhabu.
Rakini si unavaaga pia mwarimu wangu?Wanavaa wenye chura kama mimi,wacheza vigodoro na singeli. Halina heshima yoyote.
Ndo maana sehemu zenye hadhi hauwezi ingia umevaa hizo.
Sijui nikufanyie fingisu ulambwe kaban hata cha wiki.Rakini si unavaaga pia mwarimu wangu?
Sijui nikufanyie fingisu ulambwe kaban hata cha wiki ili uzidishe mahaba kwangu badala ya JF.
Sasa naona umeshajua kuandika vizuriπππππ.π€£π€£
Haya usiku mwema usije fanya kweli.
Sasa naona umeshajua kuandika vizuriπππππ.
Mimi kama mwalimu nina mbinu nyingi za ufundishaji.
Hahaha umenichekesha sana ww dadaUwiii!! Hadi dada yako nimekushinda mana kimtaani mtaani nliwahi kupigana na mvulana kipindi hicho niko mdogo wee alinidunda nakumbuka kulikuwa na mtaro mdogo tu pembeni akanidumbukiza humo nikaanza kulia hadi dada zangu wakaja kunitowa mana sikupigana tena ikabakia nalia tu huku huyo mvulana ananisubiria kwa juu nitoke aniongeze.
Ila toka hapo sijawahi kupigana mana nikawa mwoga hadi kwa wanawake wenzangu kwa hofu nikipigana nao watanipiga. π π
Mchezo mzuri sana huu ukiufahamu na una-addiction.Kucheza bao. Sina hata idea. Huwa naona tu wanahamisha kete hapa wanaweka pale na maneno mengiiii!!
πππYaani siwezi [emoji23][emoji23][emoji23]
Nikaelee kwenye maji?
Walahi siwezi Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha. Cheka tu Mkuu.Hahaha umenichekesha sana ww dada
πππNgoja nicheke tuπππ
Naogopa Sana maji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]