Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Wanavaa wenye chura kama mimi,wacheza vigodoro na singeli. Halina heshima yoyote.
Ndo maana sehemu zenye hadhi hauwezi ingia umevaa hizo.
Rakini si unavaaga pia mwarimu wangu?
 
Uwiii!! Hadi dada yako nimekushinda mana kimtaani mtaani nliwahi kupigana na mvulana kipindi hicho niko mdogo wee alinidunda nakumbuka kulikuwa na mtaro mdogo tu pembeni akanidumbukiza humo nikaanza kulia hadi dada zangu wakaja kunitowa mana sikupigana tena ikabakia nalia tu huku huyo mvulana ananisubiria kwa juu nitoke aniongeze.

Ila toka hapo sijawahi kupigana mana nikawa mwoga hadi kwa wanawake wenzangu kwa hofu nikipigana nao watanipiga. 😅😅
Hahaha umenichekesha sana ww dada
 
Kucheza bao. Sina hata idea. Huwa naona tu wanahamisha kete hapa wanaweka pale na maneno mengiiii!!
Mchezo mzuri sana huu ukiufahamu na una-addiction.
View attachment 1469032
images(19).jpg
 
sijawahi kabisa kudet na demu mkali japo kwa wengine ni jambo la kawaida.
 
Back
Top Bottom