Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Duh!!
 
Mitaa niliyokaa halafu sijawai tukana tusi la K aisee natembea kifua mbele
 
Yaani nimeishi pwani lakini sijawajua kuogelea shame on me. Mara ya mwisho 2012 nimenuia kabisa nikasema naenda coco beach saa 6 mchana nikajifunze mpka nijue....waaapi bado kidogo nizame nikarudi nyumbani nimepauka hasira kama zote
Cha kufia nini eti 😅 ukajirudia zako. Hahahaaaa. Pole Bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…