Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Hata kama usipotupia si unakuwa unapiga soga tu. Siyo lazima utupie picha unaweza kuwa mwanachama hata kwa kupiga soga tu.

Tena kama huyo HS yeye mwenyewe tu hajawahi kutupia picha yake hata moja hata kwa bahati mbaya. Alikuwa anachat tu.
Hapo ndio panaboa sasa, nina uhakika na wengine wanaboreka pia. Uzi wa picha wanyakyusa mnapiga soga hivi mtabadilika lini nyie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom