Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Sijawahi, kumiliki, kuvaa vaa la SUTI,
Ni mwendo wa jeans na cadet tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyooo siyo wewe uliyekuwa unaropoka hadi ukakimbia mwenyewe
Yaani unanisingizia naona kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sasahivi nimekuwa mtakatifu sana kwenye ule Uzi tangu maajabu yanikute
 
Back
Top Bottom