Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Aisee, wallet ninayo ila natumia mara chache na ninnaweka mfuko wa mbele,sizipendi
 
Mkuu hili ni tatizo la kiafya au vipi?
ilo sijajua kama ni tatzo la kiafya au vip maana ata dawa za usingizi hazinilazi ata ganzi mwili wang haushiki nawaza ikija siku nifanyiwe opareshen sijui itakuaje
 
ilo sijajua kama ni tatzo la kiafya au vip maana ata dawa za usingizi hazinilazi ata ganzi mwili wang haushiki nawaza ikija siku nifanyiwe opareshen sijui itakuaje
Pole,hilo ni tatizo japo hatujui sababu yake ni nini,ina maana usiku huwa hulali kabisa?na unakuwa unafanya nini sasa?
 
Pole,hilo ni tatizo japo hatujui sababu yake ni nini,ina maana usiku huwa hulali kabisa?na unakuwa unafanya nini sasa?
Ni mwendo wa kutulia tu mbak ninywe kitu kikali kidog apo naweza lala kwa kuzima apo nd nimelala mjuba
 
mimi nilikuelewa kule juu...ambao wengi walikua hawakuelewi

ww na kacha me mna associate....

Usingeandika hiyo sentensi ya mwisho ningeamini kweli umenielewa. Hata wewe hujaelewa lakini usijali sio lazima uelewe kila kitu
 
Kwenda kwa mpalange A. K. A njia ya tope hapana aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…