Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msitishe mwenzenu.. [emoji16][emoji16]Uko vizuri aisee, usije ukaonja.
Mwambieni ajaribu mana bia Tamu.. [emoji1][emoji1]Kwanini?!
Daaah ata mimiKula Pizza
Wakuu,
Kuna vitu katika maisha ambavyo ni kawaida kufanywa na watu kila Siku,lakini inawezekana kwa wengine wakawa hawajawahi kufanya kabisa.
Sababu inaweza kuwa kutopenda,kukosa muda,sababu za kiimani nk.
Nikianza na mimi:
1. Sijawahi kabisa kutengeneza juisi ya matunda (Shalubati) katika maisha yangu, pamoja na kwamba huwa natumia ila ni ile iliyotengenezwa na wengine.
2. Sina kabisa akaunti kwenye mitandao maarufu hii mitatu ya Facebook, Instagram na Twitter, habari nyingi napata JF na vyanzo vingine.
Je, wewe ni kitu gani ambacho wengine huona ni cha kawaida kufanya ila kwa upande wako hujawai kufanya?
😂😂😂
Nna hamu nao sana kifupi siwahi kuwala.Mimi pia sijawahi watamani wazungu
Huo ni ushambaNna hamu nao sana kifupi siwahi kuwala.
Ndio
NdiyoIcho ni cha kawaida??