kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwahi kuwa mpenzi mnywaji Pombe alinishawishiHongera,hujawai kushawishiwa kujaribu?
Nilionja ila sikujua kama ndani yake nimechanganyiwa na pombeHukuonja hata kidogo ujue inafanaje?
Wamewahi kunialika mara nyingi lakini huwa sioni sababu ya kuenda kilabu.Washkaji hawajawahi kukushawishi?
Nikirushiwa maneno,nakaa zangu kimya,,,,naogopa kupigwa nitaishia kulia tuUkirushiwa maneno unafanyaje?au mtu akikuvaa anakushushia kichapo unajiokoaje?