Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
Sijawahi kufanya settings kwenye simu yangu zaidi ya kurekebisha tarehe na saa. Nikinunua simu ni mwendo wa kupachika line na kuanza kutumia tu settings za manufacturer [emoji23][emoji23][emoji23]