LOVINTAH GYM
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 459
- 653
yani tunatofautiana kwenye kupenda vitu, kuna watu ubwabwa anavyoupenda mpaka unashangaa ila mwengine ubwabwa hataki hata kuusikiaMimi nimeshakula mara kadhaa ila sioni maajabu yoyote ya biriani,nadhani ni promo tu
Nitajaribu kwa kweliJaribu tu ili ukiupenda uendelee au uachane nao mazima[emoji3]
Mimi pia Ni Kama wewe,naona nakula wali na li roast tu,na mayai ambayo sijui kazi take kwa muda ule🤣🤣🤣🤣Mimi nimeshakula mara kadhaa ila sioni maajabu yoyote ya biriani,nadhani ni promo tu
Halafu biriani la kuku ! yaani tunakula kuku na mayai yake 🤔[emoji28][emoji28][emoji28],,eti na mayai kwenye wali!
Nahisi najishushaKwanini?
Sijawahi kupanda ndegeWakuu,
Kuna vitu katika maisha ambavyo ni kawaida kufanywa na watu kila Siku,lakini inawezekana kwa wengine wakawa hawajawahi kufanya kabisa.
Sababu inaweza kuwa kutopenda,kukosa muda,sababu za kiimani nk.
Nikianza na mimi:
1. Sijawahi kabisa kutengeneza juisi ya matunda (Shalubati) katika maisha yangu, pamoja na kwamba huwa natumia ila ni ile iliyotengenezwa na wengine.
2. Sina kabisa akaunti kwenye mitandao maarufu hii mitatu ya Facebook, Instagram na Twitter, habari nyingi napata JF na vyanzo vingine.
Je, wewe ni kitu gani ambacho wengine huona ni cha kawaida kufanya ila kwa upande wako hujawai kufanya?
Nina ule mtazamo wa maneno ni LONGOLONGO muhimu matendo ndio yadhihirishe huo upendo.[emoji28],sio kujishusha mkuu,ni kwamba unamwambia hisia zako za ndani kuhusu yeye,hata usipomwambia ila ndani yako unajua kabisa kwamba unampenda
Mmmmh Babe!Kula chips
Vyakula vingne.Unakula nini huko mjini,maana vibanda vya chips kama uyoga?
Babeeeeh jomoneeeeh sorry, nlikua nadanganya hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmh Babe!
zile Chips unazoniagiza sijui Chips Masala ziwekwe pili pili na mayonnaise hua zinaenda wapi [emoji848][emoji4]