Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Mimi nimeshakula mara kadhaa ila sioni maajabu yoyote ya biriani,nadhani ni promo tu
yani tunatofautiana kwenye kupenda vitu, kuna watu ubwabwa anavyoupenda mpaka unashangaa ila mwengine ubwabwa hataki hata kuusikia
 
Mimi nimeshakula mara kadhaa ila sioni maajabu yoyote ya biriani,nadhani ni promo tu
Mimi pia Ni Kama wewe,naona nakula wali na li roast tu,na mayai ambayo sijui kazi take kwa muda ule🤣🤣🤣🤣
 
Mimi pia Ni Kama wewe,naona nakula wali na li roast tu,na mayai ambayo sijui kazi take kwa muda ule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28],,eti na mayai kwenye wali!
 
Wakuu,

Kuna vitu katika maisha ambavyo ni kawaida kufanywa na watu kila Siku,lakini inawezekana kwa wengine wakawa hawajawahi kufanya kabisa.

Sababu inaweza kuwa kutopenda,kukosa muda,sababu za kiimani nk.

Nikianza na mimi:

1. Sijawahi kabisa kutengeneza juisi ya matunda (Shalubati) katika maisha yangu, pamoja na kwamba huwa natumia ila ni ile iliyotengenezwa na wengine.

2. Sina kabisa akaunti kwenye mitandao maarufu hii mitatu ya Facebook, Instagram na Twitter, habari nyingi napata JF na vyanzo vingine.

Je, wewe ni kitu gani ambacho wengine huona ni cha kawaida kufanya ila kwa upande wako hujawai kufanya?

Sijawahi kupanda ndege

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Nahisi najishusha
[emoji28],sio kujishusha mkuu,ni kwamba unamwambia hisia zako za ndani kuhusu yeye,hata usipomwambia ila ndani yako unajua kabisa kwamba unampenda
 
[emoji28],sio kujishusha mkuu,ni kwamba unamwambia hisia zako za ndani kuhusu yeye,hata usipomwambia ila ndani yako unajua kabisa kwamba unampenda
Nina ule mtazamo wa maneno ni LONGOLONGO muhimu matendo ndio yadhihirishe huo upendo.
 
Mmmmh Babe!
zile Chips unazoniagiza sijui Chips Masala ziwekwe pili pili na mayonnaise hua zinaenda wapi [emoji848][emoji4]
Babeeeeh jomoneeeeh sorry, nlikua nadanganya hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nmekumic mno [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590], msalimie mke mwenza. Muambie akutunze vizuri. Bado nakuhitaji.
 
Sijawahi kwenda club!

Nimewahi kwenda cinema/movie theatre, mwenzangu anainjoi na kubugia popcorn mimi nahisi kufwa natamani movie iishie tuondoke..
 
Sijawahi kwenda club!

Nimewahi kwenda cinema/movie theatre, mwenzangu anainjoi na kubugia popcorn mimi nahisi kufwa natamani movie iishie tuondoke..
[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom