Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Uwiii!! Hadi dada yako nimekushinda mana kimtaani mtaani nliwahi kupigana na mvulana kipindi hicho niko mdogo wee alinidunda nakumbuka kulikuwa na mtaro mdogo tu pembeni akanidumbukiza humo nikaanza kulia hadi dada zangu wakaja kunitowa mana sikupigana tena ikabakia nalia tu huku huyo mvulana ananisubiria kwa juu nitoke aniongeze.

Ila toka hapo sijawahi kupigana mana nikawa mwoga hadi kwa wanawake wenzangu kwa hofu nikipigana nao watanipiga. [emoji28][emoji28]
Polee
 
Uwiii!! Hadi dada yako nimekushinda mana kimtaani mtaani nliwahi kupigana na mvulana kipindi hicho niko mdogo wee alinidunda nakumbuka kulikuwa na mtaro mdogo tu pembeni akanidumbukiza humo nikaanza kulia hadi dada zangu wakaja kunitowa mana sikupigana tena ikabakia nalia tu huku huyo mvulana ananisubiria kwa juu nitoke aniongeze.

Ila toka hapo sijawahi kupigana mana nikawa mwoga hadi kwa wanawake wenzangu kwa hofu nikipigana nao watanipiga. 😅😅
😀😆😀
Pole sana
 
Kuvaa wigi, hereni.

Kunywa pombe

Kupigana

Kuimba mbele za watu(nina aibu tani 50k😄)
Kucheza mziki kiwanjani(nacheza pekeangu chunbani maana hata kucheza sijui).
Orodha ni ndefu ila acha niishie hapa maana....
 
Back
Top Bottom