Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kweli wanainasibisha na uhuni, ila ukijiwekea kwa wiki unapiga hata stick moja tu, hakika utakua mwenye akili kubwa, nguvu nyingi na afya tele.

[emoji1][emoji1]
Huyo jamaa yangu mmoja ndo huwa ananiambia nikivuta ndio nitafikiria zaidi lakini hapana kiukweli. Nivute halafu iwe bahati yangu kuwehuka siwezi 😂
 
Nikitu cha kawaida mkuu .. Hauoni kuwa kuna nchi zilizo endelea zimeiruhusu
Sema si unajua kwa bongo inavyoonekana. Halafu nikivuta nikapata ujasiri kupitiliza sijui nani atakuwa victim 😂. Kheri niione si ya kawaida
 
Kucheza bao.

Kucheza bao. Sina hata idea. Huwa naona tu wanahamisha kete hapa wanaweka pale na maneno mengiiii!!
Ni rahisi ila ina mahesabu fulani ya kimyakimya
 
Kwanza hata lile wazo tu huwaga sina.
😃😃😃sijawahi kushiriki huo mchakato kabisa


kwanza nilivyo mvivu wa kupanga foleni daah😃😃

enzi zakununua luku madirishani nilikuwa napata shida sana...ukienda pale kinondoni kwa mwanamboka unakutana na bonge la foleni watu wameenda kununua umeme haswaa ikiwa end of the month ndio kizaa zaa..😃😃 nilikuwaga Napata shida sana
 
Back
Top Bottom