Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

😆😆..ila watoto bado wanadai ..wenyewe wanajua "birthday=cake..!..." Ukitaja tu birthday wanajua ni keki😆!
Iliangukia siku y sikuukuu nikaona uvivu heka heka za keki na masherehe(pia nadhani kukua)unachukulia poa

😂😂 ahh ila kweli watoto hasa wakike wanajali sana hivyo vitu lakini kiumeni ni nadra sana
 
Keki ya bday yangu kwa mara ya kwanza nilikula last yr, kikundi kilininunulia bt mwenyewe sijawah kununua wala kuhangaikia na haijawah kunipa mawazo hyo siku maana siku zingine bday inapitaga tu hivi hivi kama sina plan yoyote.
Vizuri,wanawake wasiopenda hizi mambo naona kama mpo wachache
 
Mie nna hate na mvuta bang yyt yule! Hate kbs !
Nilishawahi kukaa na wavuta bhangi actually nina marafiki zaidi ya wawili wanapuliza 😂😂😂. Ni watu real sana hafu wakivuta hawana mapepe kama ya walevi, wanakuwa cool sana na hapo zinapigwa nyimbo za reggae na hiphop halafu tunamalizwa kabisa na speeches za watu wakubwa duniani 😂
 
Sijawahi kusex na mwanaume na haitakuja kutokea,[emoji777]

Sijawahi kwenda kiwanja chochote cha mpira kushangilia japo rafiki zangu wengi ni wana michezo, [emoji2359]

Sijawahi kuomba mtu nisiyemjua pesa,[emoji724]

Sijawahi kukataliwa nikitongoza, [emoji23]
 
😂😂 ahh mimi huwa napewa zawadi na mawish tena wengine kabla ya muda. Hata nikiwa home huwa hawasahau birthday yangu hivyo watapika tu chakula kizuri lakini hakuna aliyewahi kufikiria kuninunulia cake
Hahaha basi keki huna bahati nazo mkuu, but bora kama siku yako wanaifanya somehow special.
Mambo ya sherehe hua naona ni kipaji sjui mtu anakua nacho na najiona wazi hiko kipaji sina
 
Hivi bhangi ni kitu cha kawaida. Mimi sijaitaja maana sijawahi kutumia na sijawahi kuona ni kitu cha kawaida
Ni kitu cha kawaida mbona, tatizo mmeitia ubaya lakini mmea hauna tabu na mtu,
Kikubwa usiwe mgomvi sababu ukiuvuta unakupa maconfidence yote sasa ukiwa ka chokozi utajikuta aidha huna meno au umemtoa mtu meno.
 
Back
Top Bottom