Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Sijawahi kusex na mwanaume na haitakuja kutokea,[emoji777]

Sijawahi kwenda kiwanja chochote cha mpira kushangilia japo rafiki zangu wengi ni wana michezo, [emoji2359]

Sijawahi kuomba mtu nisiyemjua pesa,[emoji724]

Sijawahi kukataliwa nikitongoza, [emoji23]

Nishakuelewa
 
Vizuri,wanawake wasiopenda hizi mambo naona kama mpo wachache
Hahaa tunahesabika nahisi.
Bday au siku yoyote nzuri kwangu hua napenda niende sehem nile na ninywe ile kitu roho itapenda kwa siku ile basi hapo nakua nmeenjoy vzuri narud home kulala.
 
Ni kitu cha kawaida mbona, tatizo mmeitia ubaya lakini mmea hauna tabu na mtu,
Kikubwa usiwe mgomvi sababu ukiuvuta unakupa maconfidence yote sasa ukiwa ka chokozi utajikuta aidha huna meno au umemtoa mtu meno.

tatizo bhangi ishaonekana ni ya wahuni yaani mtu akianza kutumia ashahesabiwa kama failure ila mimi nina marafiki wanatumia na wapo peace sana. Kwenye kung'olewa meno hapo hata walevi wanahusika 😂
 
Kucha bandia ama chochote cha bandia mwilini kwangu, kubandika makope and the like

Kuvaa wigi, nilishawahi once sikurudia maana niliona kama nimebeba dunia kichwani

Kubeba ndoo kubwa ya maji, ni kitu cha kawaida kwa wanawake wengi ila me siwezi...naiona nzito

Kuepua sufuria jikoni bila mshikio ama cha kushikia
 
tatizo bhangi ishaonekana ni ya wahuni yaani mtu akianza kutumia ashahesabiwa kama failure ila mimi nina marafiki wanatumia na wapo peace sana. Kwenye kung'olewa meno hapo hata walevi wanahusika [emoji23]
Kweli wanainasibisha na uhuni, ila ukijiwekea kwa wiki unapiga hata stick moja tu, hakika utakua mwenye akili kubwa, nguvu nyingi na afya tele.

[emoji1][emoji1]
 
Kucha bandia ama chochote cha bandia mwilini kwangu, kubandika makope and the like

Kuvaa wigi, nilishawahi once sikurudia maana niliona kama nimebeba dunia kichwani

Kubeba ndoo kubwa ya maji, ni kitu cha kawaida kwa wanawake wengi ila me siwezi...naiona nzito

Kuepua sufuria jikoni bila mshikio ama cha kushikia
Good girl, kua natural ndio inafaa,
Endelea hivyo hivyo.
 
Kucha bandia ama chochote cha bandia mwilini kwangu, kubandika makope and the like

Kuvaa wigi, nilishawahi once sikurudia maana niliona kama nimebeba dunia kichwani

Kubeba ndoo kubwa ya maji, ni kitu cha kawaida kwa wanawake wengi ila me siwezi...naiona nzito

Kuepua sufuria jikoni bila mshikio ama cha kushikia
No1&2 inakufanya uwe Unique,hongera
 
Back
Top Bottom