Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Sijawahi kupigana.. Ule ugomvi wa kurushiana ngumi..
Nami pia sijawai kupigana na wala sipendi kupigana ila napenda kuangalia ngumi live, watu wanavyorushiana makonde kavu kavu hadi wapasuane, watoke damu.
 
1. Sijawahi kutoka nje ya nyumba nikiwa nimejifunga taulo aissee!
2. Sijawahi kupiga mswaki huku nakwenda dukani.
3. Sijawahi kupigwa kwenye ngumi.
Kipindi nipo shule ilikuwa kila mwaka lazima nipigane kuweka rekodi zangu sawa tena hata pale pasipo na sababu lazima tu sababu ipatikane... [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Back
Top Bottom