Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

1. Sijawahi kutoka nje ya nyumba nikiwa nimejifunga taulo aissee!
2. Sijawahi kupiga mswaki huku nakwenda dukani.
3. Sijawahi kupigwa kwenye ngumi.
Kipindi nipo shule ilikuwa kila mwaka lazima nipigane kuweka rekodi zangu sawa tena hata pale pasipo na sababu lazima tu sababu ipatikane... [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Nawachukia watu wenye tabia number 1&2[emoji3525]

Number 3[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom