Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Mbona Mimi nimerudi nyuma sijaona. Ni page mamba ngapi jamani?Baada ya hii post, imebidi nifanye review ya thread, nimekuelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Mimi nimerudi nyuma sijaona. Ni page mamba ngapi jamani?Baada ya hii post, imebidi nifanye review ya thread, nimekuelewa.
Mbona Mimi nimerudi nyuma sijaona. Ni page mamba ngapi jamani?
Nimerudi mwanzo sijaona😅😅Asiyejua maana haambiwi maana.
Nimerudi mwanzo sijaona😅😅
[emoji38][emoji38]Ila we mtata
Sio lazima ujaribu kila kituSijawahi vaa ule mpira wakati wa tendo nikafanikiwa bila kuutoboa kwa ncha za vidole.
Sijawahi fanya 3some,kuna wakati najihisi kama ujana sijaumaliza katika hili.
Sijawahi fikia mafanikio ya ndoto zangu hata theluthi na umri unayoyoma.
Ndio maana nasema sometimes i see you in me sister
Good, sitakuuliza umeelewa niniBaada ya hii post, imebidi nifanye review ya thread, nimekuelewa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asiyejua maana haambiwi maana.
SafiNdio maana nasema sometimes i see you in me sister
Mie pia sijawahi kukaa uchi mbele ya mtu ukiachana na utotoni
Mungu akusaidieSijawahi kwenda ata kwa bahati mbaya, pombe ata kifuniko kimoja sijawahi kuonja
Alikukuta Anga zake?Uwiii!! Hadi dada yako nimekushinda mana kimtaani mtaani nliwahi kupigana na mvulana kipindi hicho niko mdogo wee alinidunda nakumbuka kulikuwa na mtaro mdogo tu pembeni akanidumbukiza humo nikaanza kulia hadi dada zangu wakaja kunitowa mana sikupigana tena ikabakia nalia tu huku huyo mvulana ananisubiria kwa juu nitoke aniongeze.
Ila toka hapo sijawahi kupigana mana nikawa mwoga hadi kwa wanawake wenzangu kwa hofu nikipigana nao watanipiga. [emoji28][emoji28]
Ofcourse upo sahihi ndio maana nikasema najihisi ila ni hisia tu potofu za ujana na kama ujuavyo unapozungumzia term ujana kwa kiasi kikubwa ni kama unazungumzia vitu vya ajabu ajabu tu ambavyo mara nyingi havina matokeo chanyaSio lazima ujaribu kila kitu
Kweli mkuu,na vingi huwa na majuto tuOfcourse upo sahihi ndio maana nikasema najihisi ila ni hisia tu potofu za ujana na kama ujuavyo unapozungumzia term ujana kwa kiasi kikubwa ni kama unazungumzia vitu vya ajabu ajabu tu ambavyo mara nyingi havina matokeo chanya
Nasimama na wewe katika hili mkuuKweli mkuu,na vingi huwa na majuto tu