Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Sijawahi vaa ule mpira wakati wa tendo nikafanikiwa bila kuutoboa kwa ncha za vidole.
Sijawahi fanya 3some,kuna wakati najihisi kama ujana sijaumaliza katika hili.
Sijawahi fikia mafanikio ya ndoto zangu hata theluthi na umri unayoyoma.
 
Sio lazima ujaribu kila kitu
 
Uwiii!! Hadi dada yako nimekushinda mana kimtaani mtaani nliwahi kupigana na mvulana kipindi hicho niko mdogo wee alinidunda nakumbuka kulikuwa na mtaro mdogo tu pembeni akanidumbukiza humo nikaanza kulia hadi dada zangu wakaja kunitowa mana sikupigana tena ikabakia nalia tu huku huyo mvulana ananisubiria kwa juu nitoke aniongeze.

Ila toka hapo sijawahi kupigana mana nikawa mwoga hadi kwa wanawake wenzangu kwa hofu nikipigana nao watanipiga. [emoji28][emoji28]
Alikukuta Anga zake?
 
Kuna jamaa yangu nafanya nae biashara alinishangaza sana, yaani yeye tangu utoto wake mpaka sasa mtu mzima hajawahi Panda daladala wala bodaboda.
Nilishangaa kuna wa Tanzania wamekulia maisha ya Privet sana.
 
Sio lazima ujaribu kila kitu
Ofcourse upo sahihi ndio maana nikasema najihisi ila ni hisia tu potofu za ujana na kama ujuavyo unapozungumzia term ujana kwa kiasi kikubwa ni kama unazungumzia vitu vya ajabu ajabu tu ambavyo mara nyingi havina matokeo chanya
 
Kuna jamaa yangu nafanya nae biashara alinishangaza sana, yaani yeye tangu utoto wake mpaka sasa mtu mzima hajawahi Panda daladala wala bodaboda.
Nilishangaa kuna wa Tanzania wamekulia maisha ya Privet sana.
Ana bahati
 
Ofcourse upo sahihi ndio maana nikasema najihisi ila ni hisia tu potofu za ujana na kama ujuavyo unapozungumzia term ujana kwa kiasi kikubwa ni kama unazungumzia vitu vya ajabu ajabu tu ambavyo mara nyingi havina matokeo chanya
Kweli mkuu,na vingi huwa na majuto tu
 
Back
Top Bottom