Mjukuu wa Majaliwa K
Member
- May 12, 2020
- 21
- 15
Ni kweli lakini ndoivo Sina Cha kunipeleka mkoani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuInabidi uwajue walio negative, ni wengi mno huhitaji hata certificate kuwajua! Ukishawajua, wewe sasa unakuwa unafanya kinyume nao, lakini kwa yale ya kwao yaliyo negative tu! Mtu akiiponda Kenya, wewe unaanza kutafuta sifa za Kenya halafu unaisifia, akiiponda SGR unafanya hivyo vile vile. Hata hivyo inabidi kiwe ni kitu kinachotoka rohoni mwako kabisa, na si maigizo! Maana wakati mwingine unaweza ukajikuta unaigiza kuwa positive halafu kumbe uko negative, ambayo sasa ni worst case scenerio kuzidi hata ya yule ambaye yuko negative. Ukiwakubali watu kwa STRENGTHS zao bila kujali ni marafiki au maadui, you are likely to be one of the strongest positive persons in the world. Usimponde mtu aliyefanya jambo jema na zuri, kisa tu ni adui yako. Adui akifanya jema msifie, na rafiki akifanya baya, muonyeshe kuwa hujaridhika.
Ubarikiwe na BwanaAsante mkuu
Yes sijawah mie.Hata kwa jirani?
🙄🙄Aisee!Kucha bandia ama chochote cha bandia mwilini kwangu, kubandika makope and the like
Kuvaa wigi, nilishawahi once sikurudia maana niliona kama nimebeba dunia kichwani
Kubeba ndoo kubwa ya maji, ni kitu cha kawaida kwa wanawake wengi ila me siwezi...naiona nzito
Kuepua sufuria jikoni bila mshikio ama cha kushikia
Soon nakutwanga.Sijawahi kupigana. Ule ugomvi wa kurushiana ngumi.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Soon nakutwanga.
Ukiendelea kumuita yule kichaa shemeji kipondo kinakuhusu na hakuna wa kuamulia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na unaweza kunitwanga kweli.
[emoji3][emoji3][emoji3] tangu uzaliwe?