Kitu gani cha kuchekesha au kutia aibu ulisikia mtoto mdogo anakisema?

Mzee. Alikua ametoka kuoga anakawa anavaa nguo mara ghafla mtoto anakuja chumbani akuoma baba ake kwa nyuma akatoka nduki kusema kwa mama ake mama mama baba anajinyea kumbe ameona testis
Daaahh 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
😃😃😃hii imetokea hivi karibuni tu,, ile kuwaambia watoto kusalimia kwa kushika kidevu sasa siku moja babu mzaa baba yake kaja kamuelekeza kwamba akitaka kusalimia awe anaparaza mikono kwenye ndevu,, mtoto akasema kwahiyo na mama niwe namsalimia kwa kuparaza mikonk kwenye ndevu zake za huku akionyesha sehemu za siri, tena mama ana ndevu nyingi sana,,

Kwa aibu ile mama mtu ilibidi aondoke home kwanza kupisha aibu
 
Duuuh ndiyo mambo ya watoto hao, kuna kitu wanaweza kusema ukatamani ukimbie usionekane tena 🤣
 
Kuna wazazi walikuwa wamelala na mtoto wao kitandani,sasa mtoto akataka kwenda kukojoa nje na taa zilikuwa zimezima.

Katika kupapasa mtoto si akashika mashine ya baba yake,mzee kwa kuua soo akasema we mtoto achia hiyo tochi haina betri
Mtoto kama tayari anajua tochi na betri inabidi asiendelee kulala chumbani kwa wazazi wake 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…