Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,789
- 39,513
Nadhani mtoto walikuwa wana lala nae usiku.🤣 🤣 daaah, huyo mtoto alionaje?
Inabidi wazazi waache kulala na watoto wao baada ya kufikisha mwaka mmoja.
Nadhani mtoto walikuwa wana lala nae usiku.🤣 🤣 daaah, huyo mtoto alionaje?
Inabidi wazazi waache kulala na watoto wao baada ya kufikisha mwaka mmoja.
Hawajajua kuongea vizuri 🤣Wale watoto wa kitombe wakimaanisha kikombe,hv hii huwa ni nini
Mtoto kama tayari anajua tochi na betri inabidi asiendelee kulala chumbani kwa wazazi wake
😄😄😄😄Umenifanya nicheke mkuu maana kuna mtoto wa sister hapa home ndo anasema hivyo aisee, hata ukimrekebisha bado anarudia hivohivoWale watoto wa kitombe wakimaanisha kikombe,hv hii huwa ni nini