Kitu gani kikubwa ulichowahi kuhonga au kuhongwa ambacho hutakisahau maishani mwako?

Kitu gani kikubwa ulichowahi kuhonga au kuhongwa ambacho hutakisahau maishani mwako?

Mr mgeni

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
1,222
Reaction score
805
Habari zenu jamani JF,

Niwaulize kitu wana ndugu: Ni kitu gani kikubwa ambacho uliwahi kuhonga/kuhongwa na mpenzi wako ambacho kamwe huwezi kukisahau?

Mimi nimewahi kuhonga vitu vya ndani yaani full house material na niliwahi kumkodia gari hawara yangu mwingine siku ya harusi yake sijui aliniroga? Nikikumbuka machozi yanatiririka maana nilikodi Range mbili na Costa 3.

1620124765150.png

 
Kipindi nasoma shule uboizini(shule kapuni)
Kuna mwl mmoja alikuwa anapenda Sanaa vijana
Nikawa Na date naye duuh Yule madam alikuwa ananihonga hadi mitihan ananiletea
Ilikuwa mitihan ikikaribia nilikuwa sisomi coz nilikuwa napewa
Kubwa zaidi ambalo amenihonga mpaka Leo sitosahau ni kunipa possible ya Necta 6!
Ilinifanya niwe top japo nilihongwa
Now daz kazeeka!
Sema honga yake ilifanya nionekane mtu katika WATU
 
Inaniuma mpaka kesho aliniambia nijifanye kaka yake basi nikawa shemeji kwa mshkaji,nahisi aliniloga sio bure
Ulijiroga wewe mwenyewe wala hakuna aliyekuroga,inaelekea huyo mwanamke alikua kakutawala sana na ulimfanyia kila jambo alilolitaka,
So, ulifanya hayo kwa udhaifu wako tu juu yake acha kutafuta mchawi.
 
Dah naona tu baadae patajaa watu watatitririka...mi kubwa simu ndogo tu ya 25 nadhani...zaidi ya hapo hapana .. Sihongi zaidi
 
Back
Top Bottom