Kitu gani kikubwa ulichowahi kuhonga au kuhongwa ambacho hutakisahau maishani mwako?

Kitu gani kikubwa ulichowahi kuhonga au kuhongwa ambacho hutakisahau maishani mwako?

Kingine nakumbuka
Kipindi nipo chuo nilikuwa Sina mkopo Wala nini
Lakini college yetu (Napahifadhi)
Kulikuwa Na wamama WA makazini ambao walikuwa wapo wanaongeza ujuzi

Kidume ikabidi nijiongeze nikawa najiweka safi as real gentleman
Kijana mstarabu nisiye Na makuu wala skendo
Lengo ilikuwa nifanikiwe kukamata hata wa3
Kweli wadau nilifanikiwa kutoka nao japo now NAJUTA kwa dhambi nilizokuwa nafanya ukichek ni wake za WATU
Lakini maisha yalinifanya niwe vile
Nikawa natembea nao Na nilihakikisha hawajuan Na walikuwa wananilea mpaka nilipomaliza chuo!

Huwa najiulizaga hivi wanawake akili zao zipo wapi
Hata katika maisha nikawa Na hofu ya kuja kunikuta now Nina watt lakini KUHUSU mke SITAKI kabisa kusikia coz nikikumbuka niliyokuwa nawafanyia wanaume wenzangu wenye wake zao Mungu ndo anajua
 
Mmmmmhhh !!! Aisee !! Kumbe me kwenye hii sector bado underground sana. Hope you have learned something bro, msimamo wangu ni huu siwezi kuinvest sana kwenye mapenzi coz I know very well always mapenzi huwa na return ndogo sana.
 
Kipindi nasoma shule uboizini(shule kapuni)
Kuna mwl mmoja alikuwa anapenda Sanaa vijana
Nikawa Na date naye duuh Yule madam alikuwa ananihonga hadi mitihan ananiletea
Ilikuwa mitihan ikikaribia nilikuwa sisomi coz nilikuwa napewa
Kubwa zaidi ambalo amenihonga mpaka Leo sitosahau ni kunipa possible ya Necta 6!
Ilinifanya niwe top japo nilihongwa
Now daz kazeeka!
Sema honga yake ilifanya nionekane mtu katika WATU
papuchi ulimla?
 
Mbona sioni wadada wakisema wamehonga hapa
Mi nilishawah kumpa mkaka 50000 alikuwa mpenzi wangu lakin nilimpa kwani alikuwa hana pesa kabisa nilimpa ya kula tu na sijawah tenaa na tulishaachana sasa japo hunitafuta kunisalimia mara moja
Niliwah wapa rafiki zangu simu za tochi zamani zile nokia orgiiii na yenyewe ni kuhonga etii
 
Aliyekuwa Demu wangu wa chuo kikuu mke wa mtu sasa hivi alinihonga Iphone 5s.
Mpaka leo naitumia kila nikinunua simu nyingine inaharibika.

Ila ananitafutaga mara kwa mara tunapasha kiporo.
 
Nilihongwa TV ya chogo nimpe marinda, nikiangalia siku Hizi TV za chogo hazina issue nayawazia marindraaaa yanguuuuu.
Ebu ngoja kidogo mkuu, mana nina swali hapa.....
Naomba nikakuulizie hilo swali kule PM, maana hapa naogopa kukosea adabu tafadhali....[emoji6] [emoji6]
 
Back
Top Bottom