Kitu gani kikubwa ulichowahi kuhonga au kuhongwa ambacho hutakisahau maishani mwako?

Kitu gani kikubwa ulichowahi kuhonga au kuhongwa ambacho hutakisahau maishani mwako?

Mimi ndio nipo hapa tayari kumuhonga yeyote coz sijawahi kuhonga,nani yupo tayari kuhongwa ili na mimi niandike historia?😀😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mwambie akufikilie akubadilishie akupe japo ka flat ka inchi 42
 
Nishahonga mademu simu kama 5.
1. Samsung Note 5.
2. Huawei gani sijui ile.
3. Sony xperia 4
4. Kitochi nokia.
5. Kitochi tekno.
NB. Simu Zote nilikua natumia then nadandiwa naiacha...
Others.
1. Kitanda cha 6 kwa 6 kipya.
2. Mitaji ya biashara hizi laki 2 -8.
3. Na mengineyo.

Kuhonga ni moyo si utajiri.
 
Kuhonga kwa tafsiri yangu ni kutoa "zawadi" Fulani ili utimize/utimiziwe lengo/haja yako,kama mtu ulitimiziwa lengo/haja yako sasa kwanini ujilaumu kua kwanini ulihonga?!
 
Bikra nne tofauti,,sitapata tena hii asee maana nmekua na nina familia sasa
 
Niliwahi kumnunulia Melanie miwani ya Versace. Ilikuwa inauzwa dola 500.

Hiyo ndo ilikuwa mara ya kwanza na ya mwisho kuhonga maishani mwangu.

I’m way too smart for that bullshit.
Hahaha...
 
Back
Top Bottom