Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Kumbe umario ulianza tangu enzi za kale eehhhhh......tehteehhhKipindi nasoma shule uboizini(shule kapuni)
Kuna mwl mmoja alikuwa anapenda Sanaa vijana
Nikawa Na date naye duuh Yule madam alikuwa ananihonga hadi mitihan ananiletea
Ilikuwa mitihan ikikaribia nilikuwa sisomi coz nilikuwa napewa
Kubwa zaidi ambalo amenihonga mpaka Leo sitosahau ni kunipa possible ya Necta 6!
Ilinifanya niwe top japo nilihongwa
Now daz kazeeka!
Sema honga yake ilifanya nionekane mtu katika WATU