Kitu gani kikubwa ulichowahi kuhonga au kuhongwa ambacho hutakisahau maishani mwako?

Kitu gani kikubwa ulichowahi kuhonga au kuhongwa ambacho hutakisahau maishani mwako?

Habari zenu jamani JF,

Niwaulize kitu wana ndugu: Ni kitu gani kikubwa ambacho uliwahi kuhonga/kuhongwa na mpenzi wako ambacho kamwe huwezi kukisahau?

Mimi nimewahi kuhonga vitu vya ndani yaani full house material na niliwahi kumkodia gari hawara yangu mwingine siku ya harusi yake sijui aliniroga? Nikikumbuka machozi yanatiririka maana nilikodi Range mbili na Costa 3.
Takoooo
 
Yaan wewe kuna mwanaume humu kanikamata mpaka namsalimia shikamoo mme wangu ,,acha tu
Nawapenda sana watu kama nyie maana nikitoka huko kwenye mihangaiko ya kutafuta mkate wa siku nikiwa na stress zangu nikifungua JF basi huwa zinayeyuka kama nta kwenye jua. Safi sana.Mama Sabrina.
 
Nilihongwa TV ya chogo nimpe marinda, nikiangalia siku Hizi TV za chogo hazina issue nayawazia marindraaaa yanguuuuu.
Wewe mama kweli unajua kuwakamata madogo! Hakuna mwanamke atakayeweza kusema kuwa Rinda lilishatatuliwa! Ukiona hivyo ni utani tu. Tuliowatatua humu wanajifanya wana bikra zote mbili tunawathare tu
 
Back
Top Bottom