Kitu gani kikubwa ulichowahi kuhonga au kuhongwa ambacho hutakisahau maishani mwako?

Kitu gani kikubwa ulichowahi kuhonga au kuhongwa ambacho hutakisahau maishani mwako?

dah,mimi nilishawahi kuhonga 500(jero) liliniuma sana mpaka nikataka nirudishe muamala sema ndo nlikua nshachelewa
 
Habari zenu jamani JF,

Niwaulize kitu wana ndugu: Ni kitu gani kikubwa ambacho uliwahi kuhonga/kuhongwa na mpenzi wako ambacho kamwe huwezi kukisahau?

Mimi nimewahi kuhonga vitu vya ndani yaani full house material na niliwahi kumkodia gari hawara yangu mwingine siku ya harusi yake sijui aliniroga? Nikikumbuka machozi yanatiririka maana nilikodi Range mbili na Costa 3.
Nilimuhonga elfu 20 mpaka leo nikikumbuka mapigo ya moyo yanaongezeka.Nifanyeje ili nipone?
 
Kipindi nasoma shule uboizini(shule kapuni)
Kuna mwl mmoja alikuwa anapenda Sanaa vijana
Nikawa Na date naye duuh Yule madam alikuwa ananihonga hadi mitihan ananiletea
Ilikuwa mitihan ikikaribia nilikuwa sisomi coz nilikuwa napewa
Kubwa zaidi ambalo amenihonga mpaka Leo sitosahau ni kunipa possible ya Necta 6!
Ilinifanya niwe top japo nilihongwa
Now daz kazeeka!
Sema honga yake ilifanya nionekane mtu katika WATU
Alikuwa na mume?
 
Sisi ambao hatujawahi kuhongwa naona huu uzi hautuhusu kabisa🚶🚶
 
Dah mm sio kikubwa ila kimeniuma sn. nimeenda kwa kwa dem kuonanane maeneo hvi ya jioni nimevaa sweta langu la jinsi na earphones zangu mpya kavingangania nimemuachia alafu wiki mbele ananiambia tuachane dah vitu vyangu viliniuma sn nimeshidwa kumdai.
ila kuna madem njaa sn miaka hii sijue tatizo nn wakuu.
 
[emoji3]Alichukua sweta na earphone au hadi jeans?
 
Niliwahi kumnunulia Melanie miwani ya Versace. Ilikuwa inauzwa dola 500.

Hiyo ndo ilikuwa mara ya kwanza na ya mwisho kuhonga maishani mwangu.

I’m way too smart for that bullshit.
We msukuma wacha ubahili lol
 
Back
Top Bottom