Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Elezea kwa kina, kwamba walikuwa weusi wakapigwa na jua na kubadilika rangi au?Tabia nchi na za kitropiki
Hali za hewa zina athari kubwa kwenye maumbo rangi na tabiaElezea kwa kina, kwamba walikuwa weusi wakapigwa na jua na kubadilika rangi au?
Kwani fuvu la kale, lilikuwa la muafrika au mzunguSababu naijua ila sasa kuandika nahs boonge la uvivu….
Inabidi tufanye utafiti ili tuweze kupata majibu sahihiHakuna anayejua watu wote duniani tumejikuta tuko hivihivi hizo stori zingine ni nadharia hazina uthibitisho.
Hata ukifanya utafiti hutopata majibu ya uhakika.Inabidi tufanye utafiti ili tuweze kupata majibu sahihi
Nini kifanyike ili ukweli uweze kupatikana?Hata ukifanya utafiti hutopata majibu ya uhakika.
Aya ni maneno ya watu wa zamani walijiandikia kutokana na kutokuwa na jibu na mada tajwa.Enyi watu! Hakika sisi tumewaumba kutokana na mwanaume mmoja na mwanamke mmoja na tumewafanya kuwa ni mataifa na makabila ili mfahamiane, hakika aliye mtukufu wenu zaidi mbele za Allah ni aliye mchamungu zaidi katika nyinyi, hakika Allah ni mwenye elimu mwenye khabari {zote}.
Qu'ran 49:13
Hili mwenyezi mungu alishalitolea ufafanuzi vizuri kwenye quranKuna waarabu, wahindi, wazungu, waafrika.
Na ukiangalia kitu kinacho watofautisha ni viwili tu; rangi ya ngozi na aina ya nywele, ila kimuundo wote wako sawa.
Sasa ni kitu gani kilicho sababisha kuwepo na huu utofauti?
Hadithi za kusadikika tu zileKuna jamaa humu aliwah andika eti Nuhu ndo aliefanya wakAwepo binadamu weupe