Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Fafanua Mkuu, Njombe,Mbeya,Arusha, Kilimanjaro Hali ya Hewa kama ya Ulaya,mbona hao sio wazungu?Tabia nchi na za kitropiki
Fafanua Mkuu, Njombe,Mbeya,Arusha, Kilimanjaro Hali ya Hewa kama ya Ulaya,mbona hao sio wazungu?Tabia nchi na za kitropiki
Alisemaje Mwenyezi Mungu?!!Hili mwenyezi mungu alishalitolea ufafanuzi vizuri kwenye quran
Kabla ya kusema Ndizi si tamu inapendeza zaidi ukileta mbadala wa ndizi ili tuondoe njaa yetu kinyume chake acha ndizi kufa na njaa.Mmeanza kuleta hekaya za vitabuni badala ya facts zenye ushahidi na uthibitisho.
Alisisitiza elimu na kusema itafutwe hata uchina kumbuka zama hizo hakuna teknolojia wala usafiri kama sasaAliandikaje na hajui kusoma na kuandika? Waliandika marafiki zake na manaswara. Ni jambo la kawaida tu. Sema ndo amesababisha sisi wengi tuchukie shule au elimu sababu yeye ndo role model.
FactsHakuna anayejua watu wote duniani tumejikuta tuko hivihivi hizo stori zingine ni nadharia hazina uthibitisho.
Hahahahahahah ,!! Wakijibu nishtueWenye rangi tofauti? Umeshawahi kuona binadamu mwenye rangi ya bluu?
Sasa kwanini mwafirika hata akaizaliwa ulaya bado anakuwa mweuzi licha ya tabia nchi ya ulaya?Tabia nchi na za kitropiki
Kuanzia leo kama ulikuwa haujijui kuwa huna Akili Mimi nakusanua.Ukichunguza sana, vitabu vya kiimani vililetwa ili kuwapumbaza watu katika maeneo fulani kwa malengo maalumu; kulijua hilo itakulazimu uwaze nje ya box.
Kabla ya kuja kutawaliwa na warabu na wazungu, waafrika walikuwa wakiishi kwa imani zao za kimitambiko na walikuwa hawavijui hivyo vitabu vya wakoloni na maisha yaikuwa yanaenda.
Na wewe kabla ya kusema Allah(Mungu) ndiye jibu la maswali haya. Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu.Kabla ya kusema Ndizi si tamu inapendeza zaidi ukileta mbadala wa ndizi ili tuondoe njaa yetu kinyume chake acha ndizi kufa na njaa.
Mfano huu hauhusiani na ndizi!
Kwa mujibu wa vitabu vya dini MUNGU alimuumba mtu mmoja tu kwa udongo. Hao wengine walizaliwa(walitokana na mtu) Sio udongo. So inawezekanaje dhana ya kuwa na udongo tofauti Inakawa na maana hapo wakati alie umbwa kwa udongo alikuwa mmoja tu..?? Au untaka useme kwamba MUNGU aliumba watu wa aina tofauti kwa udongo tofautiHakuna, kama yupo mtu aje aseme...
Kwa tunao amini mwanadamu aliumbwa kwa udongo, pia tunajua udongo upo wa rangi tofauti tofauti na wenye tabia au rutuba tofauti.
Pia binadamu wapo wa rangi tofauti na tabia tofauti au akili tofauti.
Mfano: Afrika ina ardhi yenye rutuba nyingi na watu wenye afya imara na miili imara, pia kuna mimea iliyo fungamana yaani misitu, na nywele za waafrika asili yake ni kufungamana au kipilipili.
Kukiwa na rangi aina mbili Tayari inatosha kusema kuna tofauti au unAsemaje Mbulula?Wenye rangi tofauti? Umeshawahi kuona binadamu mwenye rangi ya bluu?
sina neno mjubaKukiwa na rangi aina mbili Tayari inatosha kusema kuna tofauti au unAsemaje Mbulula?
Ebu onyesha wapi nimesema jaribu hata kidogo kunionyesha.Na wewe kabla ya kusema Allah(Mungu) ndiye jibu la maswali haya. Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu.
kuna uhakika gani ni fuvu la kwanza la kale?Kwani fuvu la kale, lilikuwa la muafrika au mzungu
Mbona mablack Americans bado wako vile vile kama sisi tuHali za hewa zina athari kubwa kwenye maumbo rangi na tabia
Hii naiona kama mivigaMmeanza kuleta hekaya za vitabuni badala ya facts zenye ushahidi na uthibitisho.
Kuna waarabu, wahindi, wazungu, waafrika.
Na ukiangalia kitu kinacho watofautisha ni viwili tu; rangi ya ngozi na aina ya nywele, ila kimuundo wote wako sawa.
Sasa ni kitu gani kilicho sababisha kuwepo na huu utofauti?
Kuna kizalia pia.. Inategemea genes zako asili yake ni ipiSasa kwanini mwafirika hata akaizaliwa ulaya bado anakuwa mweuzi licha ya tabia nchi ya ulaya?