Naomba kakifungu kudindikiza habari ya nuhuKisayansi binadamu kiasili ni mweupe kama sokwe walivyo weupe. Alivyotoka porini na kwenda nyikani za Afrika Mashariki akapigwa na jua na kuwa mweusi. Alivyoanza kutawanyika kwenda mazingira mbalimbali akaanza kupata rangi mbalimbali. Kupitia natural selection watu wa rangi mbalimbali wakajigawa kimaeneo.
Kibiblia binadamu ni mweusi, wa kwanza kuwa mweupe ni Noah. Hadi baba yake alimshangaa na kwenda kwa babu yake kuuliza zaidi mbona nimezaa mtoto mweupe.
Ipo kwenye kitabu cha Henoko.Naomba kakifungu kudindikiza habari ya nuhu
Kiasili binadamu ni mweusi na chimbuko lake ni Afrika, ndio maana hata mabaki ya binadamu wa kale mara zote yanapatikana kwenye ardhi ya Afrika. Ndio maana binadamu anaweza kubalika kutoka mweusi kwenda mweupe lakini haiwezekana lubadilika kutoka mweupe kuwa mweusiKisayansi binadamu kiasili ni mweupe kama sokwe walivyo weupe. Alivyotoka porini na kwenda nyikani za Afrika Mashariki akapigwa na jua na kuwa mweusi. Alivyoanza kutawanyika kwenda mazingira mbalimbali akaanza kupata rangi mbalimbali. Kupitia natural selection watu wa rangi mbalimbali wakajigawa kimaeneo.
Kibiblia binadamu ni mweusi, wa kwanza kuwa mweupe ni Noah. Hadi baba yake alimshangaa na kwenda kwa babu yake kuuliza zaidi mbona nimezaa mtoto mweupe.
Kwa mazingira haya, maswali magumu yanaweza kujibiwa kwa imani, kuamini vitu vya kusadikika?Tunaweza kupata majibu.
Ndio maana nilikwambia, Hatuwezi kujua tusivyo vijua ila tunaendelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, udadisi, uchunguzi na majaribio zaidi.
Majibu hayapatikani kwa haraka kwa sababu, Hata sisi binadamu ni sehemu ya maswali yanayohitaji majibu. Tunahitaji majibu ya sisi wenyewe.
Na wakutafuta majibu ni sisi wenyewe.
Na tunazaliwa bila kujua chochote, Hivyo ili kupata majibu inahitaji tujifunze sana, tutafiti sana, tudadisi sana na tufanye majaribio zaidi.
Sababu ni hali ya hewa. Afrika tupo karibu na ikweta ambapo jua ni kali. Jua linapotupiga uzalishaji wa melanin unakua mkubwa. Wqzungu wapo mbali na ikweta kule baridi kali kwaiyo jua haliwapigi ndio maana uzalishaji wa melanin kwenye miili yao ni mdogo.Kuna waarabu, wahindi, wazungu, waafrika.
Na ukiangalia kitu kinacho watofautisha ni viwili tu; rangi ya ngozi na aina ya nywele, ila kimuundo wote wako sawa.
Sasa ni kitu gani kilicho sababisha kuwepo na huu utofauti?
Jibu swali, acha kukimbia swali la mada husika?Wenye rangi tofauti? Umeshawahi kuona binadamu mwenye rangi ya bluu?
Hayo ni mawazo ya binadamu katika kujenga utamaduni wa ustaarabu, ndio maana wakajiwekea utaratibu wa kusema hiki au kile ni dhambi.Kuna kitabu nje ya vitabu vya dini kinakataza Usizini,usiuwe,usiseme uongo mpende jirani yako,Oa nk,Je hayo ni mambo mabaya kufundishwa hao mababu zako?
Je, kitoweo unachokula awe samaki, kuku, ng'ombe n.k huwa wanamuona Mungu? Kwa sababu ili aweze kuliwa lazima afe.Wakati wa kumuona Huyo Mungu unayemkanusha utafika na utamuona wewe binafsi ni kama wewe ukiugua huwezi kunitaka mimi nithibitishe kiwango cha maumivu yako.
Inawezekana tumedanganywa, ni sawa na kusema mlima fulani umevumbuliwa na x, wakati muda wote mlima ulikuwepo.kuna uhakika gani ni fuvu la kwanza la kale?
Swali, kwanini sisi tukienda/kuzaliwa kwao hatubadiliki?Hoja ya hali ya hewa na mazingira uwa nakubaliana nayo kwa mifamo kadhaa,hapa tanzania tu au East Africa utakuta watu wanafananana kutokana na kanda wanayotokea mfano ukiwaangalia wamburu,wamangati,wafiome,waasi wanafanana kutokana na mazingira wanayotoka the same applied to wamasai,watu wa mbeya iringa nk au wanyarwanda
Sababu inaweza kuwa nini?siumize ntwe! ukifikiria rangi za mbwa ,ng'ombe paka na Mbuzi wenye rangi tofauti hutaumiza kichwa kuhusu ya binadamu.
Una uhakika gani umeumbwa, wakati umeonekana ukizaliwa?Mungu ameumba ili tujuane
Utafiti wa kina unatakiwa uendelee ili kutupa jibu sahihi, kwa sababu wapo wazungu, waarabu wanazaliwa huku kwetu lakini hawabadiliki.Sababu ni hali ya hewa. Afrika tupo karibu na ikweta ambapo jua ni kali. Jua linapotupiga uzalishaji wa melanin unakua mkubwa. Wqzungu wapo mbali na ikweta kule baridi kali kwaiyo jua haliwapigi ndio maana uzalishaji wa melanin kwenye miili yao ni mdogo.
Melanin is a substance in your body that produces hair, eye and skin pigmentation. The more melanin you produce, the darker your eyes, hair and skin will be. The amount of melanin in your body depends on a few different factors, including genetics and how much sun exposure your ancestral population had.
itakuwa ni uzao wa Adam na mchepuko ambae itakuwa ni shetani 😀 😀Hivi mtu mweusi ametokana na Adam na Eva kweli! Naona tu tufuate mambo ya "Darwinism ".